Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

Mimi sijui, nilichosema kilichomuuma Prof kuanza kumsema Lissu negatively ni hicho tu sio kingine, asingesema hivyo Prof asingeanza kumuongelea Lissu negatively

Lipumba anajua kapoteza mvuto kwa umma. Namna pekee ya kuendelea kupata makombo huko CCM anajua ni kumtajataja Tundu Lisu.
 
Lipumba anajua kapoteza mvuto kwa umma. Namna pekee ya kuendelea kupata makombo huko CCM anajua ni kumtajataja Tundu Lisu.
Huyo ni profesa bingwa wa uchumi duniani, anatambulika mpaka umoja wa mataifa
 
Huyo ni profesa bingwa wa uchumi duniani, anatambulika mpaka umoja wa mataifa
Hamna profesa wa hivyo, wapambe wake ndio walikuwa wanamvika kilemba cha ukoka zamani, lakini tulikuwa tunajua ni boya fulani tu.
 
Hamna profesa wa hivyo, wapambe wake ndio walikuwa wanamvika kilemba cha ukoka zamani, lakini tulikuwa tunajua ni boya fulani tu.
Lissu na vi masters vya human rights, digrii rahisi kabisa kupata hapa duniani. Lissu ukimuambia aache kujadili sheria, ni mweupe tu kichwani
 
Ndumila kuwili ni wale waliomtaja lowasa na wenzake pale mwembeyanga kuwa mafisadi Kisha 2015 kumpa tiketi ya kugombea urais kupitia chama Chao kisa wamenunuliwa
[emoji1787][emoji1787] Wanajitoa akili kujifanya kama hawajui kilicho tokea.

Dj alipiga mpungawake akamuingiza mamvi kwanguvu no matter what!.
 
Back
Top Bottom