Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

Nashangaa, nia kubwa ya wapinzani ni nini sasa Kama si kuchukua nchi dhidi ya chama cha CCM?!
Wakianza kupondana wenyewe kwa wenyewe tuwaeleweje?
Hivi mnamkumbuka huyu 2015 alivyosaliti ukawa na Slaa?
Akapewa posho kwenda Burundi kupooza moyo?
 
Nashangaa, nia kubwa ya wapinzani ni nini sasa Kama si kuchukua nchi dhidi ya chama cha CCM?!
Wakianza kupondana wenyewe kwa wenyewe tuwaeleweje?
Msukuma na Mwigulu wanasifiana? Na si wapo chama kimoja? Sembuse vyama tofauti. CUF na CHADEMA kinachowaunganisha ni kwamba vyote ni vyama vya siasa na wala si kutokuwa kwao madarakani.
 
Bwaku bwaku lishaamka tena sasa.
CCM wameenda kulitoa uvunguni lije kubwatuka.

Nikisikiaga hili zee linaongea nashukuru Mungu sikung'ang'ania shule. Maana li profesa lina akili kama toto lenye utindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom