Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
 
Back
Top Bottom