Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Mwandosya tutamkumbuka kwa kufanya ufisadi TTCL mpaka shirika likafa, UFISADI ndio legacy pekee alioacha kwenye taifa hili.
mkuu ficem ni walewale tu kama yule alouza nyumba public kwa hawarah, na ako na hotel anayoirun hawara yake mwingine, juzjuz kamzalisha wazir tena mke wa mtu
 
Sio ya kijinga wewe unaefikiri hivyo ndio mwenye mawazo ya kiji.nga huwezi mpangia mtu namna ya kufikiri??
 
Sidhani Kama mtu anaejijua ameadhirika anaweza kuambukiza watu makusudi,
 
Huko bungen wanajifukiza au wamesahau

stidy
 
Mzee wa " Kyoto" huyo........ana mambo mengi kichwani.

2005 alishika namba 3 kwenye kura za maoni kinyang'anyiro cha urais CCM usimchukulie poa comrade!
Unapoteza kuungwa mkono aisee..wenzio wanamtukana wewe unamtetea na kuonyesha kua ni mtu...pole yako ukikosa malipo usije lalamika!
 
Mkuu wewe kwakutokua msomi au wazazi wako wamelisaidia nini Taifa? Tumia kutosoma kwako sasa kulisaidia Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…