Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!

Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yake apewe lakini umeongeza chumvi nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu bandiko langu lilikuwa katika kukuunga mkono. Wa kwenye katapita atawajulia wapi kina Mwandosya?

Huyo wake kina Harmonize
 
Alikuwa anatafuta tiba mbadala nadhani ya kufukiza, tuache utani watu wengi niwazembe wanaishi kwa mazoea wanakula vyakula kwenye usafiri wa watu wote 'public transport' hawataki kunawa pia
Mkuu maji ya kunawa hiyo mikono yako wapi? Je mabasi yetu pia yamefungwa hivyo vifaa ya kunawia mikono?
 
Elimu ipo tofauti kaka, Elimu sio sawa kabisa

Leo vyuo vya Afrika vya afya vinasubiri kinga ya corona toka Oxford University kwa kutegemea Prof Sarah Gilbert kama majaribio yake yatafanikiwa

Vyuo hivyo vina vifaa na wataalam wabobezi toka nchi mbalimbali

Sasa wewe Chuo kama CBE au TIa walimu wengi ni wa Masters na Profesa unakuta mkuu wa chuo tu huwezi fananisha na chuo kama Sua Morogoro

Elimu haupo sawa, Mtoto wa IST huwezi mfananishe na mtoto wa Jangwani au Makongo sec never ever
 
Sasa kwa nini asingepiga simu kwa Mamlaka husika ili akamatwe, Wagonjwa kutoroka Hospitalini ni kawaida hutokea Dunia nzima.
Kama angelipiga sim weye ungelijuaje kuwa kuna vitendo hovyo vinafanyika Tz?? Nadhani katufungua macho sisi sote kuwa; Wapo watu wanatamani kufa na wengine
 
Wajifukizie
 
Kuwa na adabu basi usibwatuke hovyo kama mala.ya wa buza.......
amefanya mengi ya muhimu katika jamii mojawapo kufundisha vijana kwenye taaluma ya electrical....
 
OK, basi labda amefikia peak na sasa grafu inaanza kushuka, wanasema tukizeeka IQ inashuka pia.

Wewe utakuwa umeshafika peak hata kabla ya kuzeeka wakati hata CV huna. Hiyo si balaa kubwa?
 
Kwani kwenye corona ccm inaficha Nini? Mbona Magufuli akitwit hatuoni kelele hizi?
Hawa jamaa sijui wakoje. Ka tweet Mwandosya kisa katoa ukweli mchungu imekuwa nongwa. Alipo tweet Magufuli kuomba maombi ya siku tatu wakasema "Tupo na Rais wetu" Hawa MATAGA Jana nimetukana limoja nikaishia kula ban.
 
Government yetu hii hii inayosaka wanaoikosoa mitandaoni? Unadhani itakupa elimu gani hii?Mungu atusaidie tu.
 
Kama angelipiga sim weye ungelijuaje kuwa kuna vitendo hovyo vinafanyika Tz?? Nadhani katufungua macho sisi sote kuwa; Wapo watu wanatamani kufa na wengine


Kwa hiyo akaamua kukimbilia twitter badala ya kujaribu kutatua tatizo?
 
Sasa hilo ni kosa la Mzazi wako binafsi
Nenda kawaulize, Mateso ni individual level

Unapoongelea Maisha sema wewe, Ila wataalam wanaongelea maisha wanaongelea kesho na yajayo hata kama wao hawajafaidika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…