Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Are you kidding?Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you kidding?Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!Wewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
kwanini unafikiri natania??Are you kidding?
Heshima yake apewe lakini umeongeza chumvi nyingi sana.Huyo Mwandosya ni moja ya maprofesa ambao maandiko yao kwenye mambo ya Climate change yameacha alama Africa
Unapoongelea manguli na maprofesa ambao Nyerere aliwaamini kama vijana wake basi huyu ni namba moja
Hawa ndio walikuwa Think Tank wakati nchi yetu inajifunza kujitawala kutoka kwa mkoloni
Unapoongelea Mapinduzi Haya ya matumizi ya simu Tanzania huwezi mkwepa Mark Mwandosya akiwa Waziri wa communication
Huyu ni Prof wa electronics and electrical engineering na Mwana ccm Nguli
Mkuu hawa ni vijana wa Nyerere na Marafiki sana, JK, Ben Mkapa, Mwandosya na salim Ahmed
Walilelewa na chama na kupewa majukumu wakiwa vijana
Huyu ameacha alama kubwa hapa Tanzania kwa Wanaojua machapisho yake na ushauri
Ushauri wake sekta ya maji na Mawasiliano huwezi kuusahau
Mkuu maji ya kunawa hiyo mikono yako wapi? Je mabasi yetu pia yamefungwa hivyo vifaa ya kunawia mikono?Alikuwa anatafuta tiba mbadala nadhani ya kufukiza, tuache utani watu wengi niwazembe wanaishi kwa mazoea wanakula vyakula kwenye usafiri wa watu wote 'public transport' hawataki kunawa pia
Elimu ipo tofauti kaka, Elimu sio sawa kabisaMkuu umemshauri na umeeleza vizuri sana maana hata Mimi sikujua huyu ni prof.wa kitu gani ,hongera ila hapo mwisho umeharibu ,elimu ni elimu tu haijarishi umeichukulia kwenye chuo cha kata au lah,isingekuwa ni elimu government yetu isingeitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama angelipiga sim weye ungelijuaje kuwa kuna vitendo hovyo vinafanyika Tz?? Nadhani katufungua macho sisi sote kuwa; Wapo watu wanatamani kufa na wengineSasa kwa nini asingepiga simu kwa Mamlaka husika ili akamatwe, Wagonjwa kutoroka Hospitalini ni kawaida hutokea Dunia nzima.
Kwani kwenye corona ccm inaficha Nini? Mbona Magufuli akitwit hatuoni kelele hizi?Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
WajifukizieTweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
Kuwa na adabu basi usibwatuke hovyo kama mala.ya wa buza.......Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!
Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Tuanze na wewe. Jitoe hata humu JF kadake zako senene.Ndio maana nikatanguliza neno " Nadhani" kwani huo ni mtazamo wangu kwamba kuna umri mtu ukifika matumizi ya mitandao ya kijamii unaachana nayo.
OK, basi labda amefikia peak na sasa grafu inaanza kushuka, wanasema tukizeeka IQ inashuka pia.
Hawa jamaa sijui wakoje. Ka tweet Mwandosya kisa katoa ukweli mchungu imekuwa nongwa. Alipo tweet Magufuli kuomba maombi ya siku tatu wakasema "Tupo na Rais wetu" Hawa MATAGA Jana nimetukana limoja nikaishia kula ban.Kwani kwenye corona ccm inaficha Nini? Mbona Magufuli akitwit hatuoni kelele hizi?
Government yetu hii hii inayosaka wanaoikosoa mitandaoni? Unadhani itakupa elimu gani hii?Mungu atusaidie tu.Mkuu umemshauri na umeeleza vizuri sana maana hata Mimi sikujua huyu ni prof.wa kitu gani ,hongera ila hapo mwisho umeharibu ,elimu ni elimu tu haijarishi umeichukulia kwenye chuo cha kata au lah,isingekuwa ni elimu government yetu isingeitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi umri wangu bado unaruhusu kabisa matumizi ya JF.
Kama angelipiga sim weye ungelijuaje kuwa kuna vitendo hovyo vinafanyika Tz?? Nadhani katufungua macho sisi sote kuwa; Wapo watu wanatamani kufa na wengine
Sasa hilo ni kosa la Mzazi wako binafsiAmetusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!
Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app