Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Maendeleo ni Vitu na Sio Watu, kwahiyo mvumilie tu
 
Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k

Mawazo ya kijinga hayo , kwani Trump na wenzie wanaotumia mitandao huko Ulaya na America ni vijana? Matumizi ya technology hayana umri!!! Unajua Michael Bloomberg former mayor of New York na owner of Bloomberg Inc. ana umri gani? Mara nyingine kaa kimya kuficha ujinga wako.
 
Mwandosya tutamkumbuka kwa kufanya ufisadi TTCL mpaka shirika likafa, UFISADI ndio legacy pekee alioacha kwenye taifa hili.
 
Sasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?

Kima kweli wewe, unamfahamu vizuri Prof. Mark Mwandosya au unajambajamba tu hapo ulipo? Pimbi wewe, google academic qualifications za Magufuli na Mark alafu rudisha mrejesho hapa Jf, i wish nitukane hadi ukoo wako, nyani wewe!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo aliyetoroka akipona afunguliwe mashtaka haraka, sbb ni mpuuzi na ameamua kusambaza makusudi, sheria ichukue mkondo wake😠
 


Profesa wenu feki yuko anashindana Mangi Kimambi, kukimbilia twitter kupost umbea? WTF
 
siku hizi kuuliza kitu kama hujui ni upumbavu?
 
Sisi kipindi tunasoma advance tuliambiwa ndo yeye aliechora ramani ya kutoa maji taka jiji la dar kuelekea baharini,hivyo kwa kufanya hivyo ndo akaukwaa uprofessa
 

Hana lolote acha kumkuza hivyo, TTCL, Airtel aliharibu sana. Na ni mpiga dili tu, amekuwa waziri muda mrefu kipi cha maana amefanya, kuwa msomi haimaanishi kuwa ni mtendaji mzuri, huyu sio mtendaji kabisa, labda awe journalist
 
Barbarosa mwana CCM kindakindaki. Nilidhani wewe utakuwa mzee kuliko Mwandosya. Maana akili yako imechoka utadhani nawe umri sawa na waasisi wa TANU.
 
Utoto unakusumbua na roho za kimaskini zinakutesa.
Utapona tuu muda upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa upumbafu wake unatoka wapi mkuu??
Nadhan ww ndie mpumbafu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…