Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Changamoto ni usafiri wa Tukuyu-Lufilyo, ni Noah ambazo zinabeba hadi watu 15!!!!, ni mbanano na kupuliana, Mungu awanusuru
 
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217

Kama huyo katoroka na anajua anaumwa pia anajua ataambukizawengine sasa mnaotaka watu wakae ndani kwa lockdown wakati wanajua hawaumwi, na njaa ikiwamchapa watakubali kweli?
Hapo ndo itakuwa kazi ya police na wanainchi, kisha mtapata cha kuongea eti police walitumia nguvu kubwa na unyanyasaji kwa raia.
 
Sasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?
Professor bado ana akili hasa. Kuna wakati nilikuwa naye wakati alipoenda kutoa mhadhara kule SA. Ni lazima uwe na akili ndiyo unaweza kumwelewa. Usipokuwa na akili hutaona umuhimu wa ujumbe anaotaka kuutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mwandosya ni moja ya maprofesa ambao maandiko yao kwenye mambo ya Climate change yameacha alama Africa

Unapoongelea manguli na maprofesa ambao Nyerere aliwaamini kama vijana wake basi huyu ni namba moja

Hawa ndio walikuwa Think Tank wakati nchi yetu inajifunza kujitawala kutoka kwa mkoloni

Unapoongelea Mapinduzi Haya ya matumizi ya simu Tanzania huwezi mkwepa Mark Mwandosya akiwa Waziri wa communication

Huyu ni Prof wa electronics and electrical engineering na Mwana ccm Nguli
Huyu aliyeuza TTCL kwa bei ya mkeka?
Na offer ya mwanaye kusomeshwa bure SA.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi tena kawa utoto?? Kutujuza kuwa kuna mgonjwa wa Covid 19 katoroka karantini Mbeya akasafiri hadi Lufilyo ni utoto?? Ameshangaa kuwa mtu huyu katorokaje hadi afike huko kijijini bila kukamatwa. Yaani watu ka hao walitakiwa ikijulikana tu kuwa kuna mtoro basi itangazwe "Fatwa" na kichwa chake kiwekwe hadharani. Huenda ikaleta hifu kwa wengine kutoroka.
Usimwite tena mtoto mzee wetu

Atangazwe kisha mumuuwe kwa mawe?
 
Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Kuna watu wanazeeka mwili lakini akili zao hazizeeki mpaka kufa. Kuna watu wanakuwa vijana wa miili lakini vikongwe katika akili.

Nadhani umekwishaona baadhi ya vijana humu, wanashabikia siasa za kiimla, kidikteta au udhibiti wa habari. Hao ndio waliokongoloka akili kabla ya miili. Maana hayo mambo yalikuwepo kwenye zile tawala za zamani za akina Musollin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa kunipa CV yake, nilikuwa simjui kiasi hicho, sasa mbona hafanani na fani yake au ni Mzee sana?
Mwakajana tu nilisafiri naye kwenda SA. Alikuwa anaenda kutoa mhadhara huko. Bado yupo vizuri sana. Huwezi hata kumkaribia. Kichwa hasa. Sijui kama kuna wa kumlinganisha naye katika hawa maprofessor tulio nao sasa hivi Serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba ni Professor anafundisha wapi?
Kwani kila Professor ni lazima afundishe?
Unajua maana na tafsiri ya Professor wewe?
MATAGA at work even in senselessly issues!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwezi kuwa Prof Kama wewe si mwalimu wa chuo kikuu unless uwe Prof wa aina na maji marefu.so any Prof aliwahi kuwa mhadhiri chuo kikuu
 
Sasa kwa nini asingepiga simu kwa Mamlaka husika ili akamatwe, Wagonjwa kutoroka Hospitalini ni kawaida hutokea Dunia nzima.
Na watu kujua kuwa kuna mambo kama haya yanaendelea ni muhimu zaidi ili wachukue tahadhari. Information is power. Ukiona unaoenda mambo ya kificho ujue akili yako imekongoloka hata mwili unaweza kuwa bado na nguvu. Siku hizi tuna vijana wengi wa miili lakini ni vikongwe kimawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakajana tu nilisafiri naye kwenda SA. Alikuwa anaenda kutoa mhadhara huko. Bado yupo vizuri sana. Huwezi hata kumkaribia. Kichwa hasa. Sijui kama kuna wa kumlinganisha naye katika hawa maprofessor tulio nao sasa hivi Serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mahaba naye mkuu kwakua ulisafir nae au kuna la ziada maana imebakia kidogo tu useme hakuna wa kumzidi duniani.
 
Back
Top Bottom