Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Kuna mtu alitaka TTCL Kajitonyama kiwe Chuo Kikuu cha Waislamu, nadhani walikuja kupewa Chuo cha Tanesco Morogoro sijuiHajatokea wa kufananishwa nae. Ndio alihakikisha TTCL college Kijitonyama iwe sehemu ya UDSM na ndio hii inaitwa CoICT vijana wanapata maarifa kwa viwango vya kimataifa hapa hapa nchini.
Professor wa kweli alieacha legacy katika Uongozi wa vyuo vikuu.
TakbiiirKuna mtu alitaka TTCL Kajitonyama kiwe Chuo Kikuu cha Waislamu, nadhani walikuja kupewa Chuo cha Tanesco Morogoro sijui
Vipi maendeleo hapo Halmashauri ya Kakonko mnaendeleaje?electronics II chupu chupu anidake, rest easy prof....
Umri nadhani hajavuka 74.Hii machine ilinifundisha Electronics for Engineers second year Foe Engineering..
Mwana saa 2 kamili yupo mlangoni,halafu anawaambia ametoka airport ndio ameingia kutoka United States
Anavunja circuits kwa kichwa kwa hesabu za Laplace Transforms nilikua nabaki natoa macho tu..
Pamoja na umri ulikua umeenda ila kichwa chake ni something else
Kumbe umeolewa???? Wallah sijapenda kusikia hivoR.I.P prof wa mme wangu kipenzi.
Alikuwa kichwa wakati ule tukiwa pale hill, apumzike pema.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania kwa ujumla. Taarifa zaidi tutaendelea kujulishana. Tumwombee apumzike kwa Amani. Amina.
Dkt. Dotto P. Kuhenga, Mratibu wa Mawasiliano na Habari, UDSM.
View attachment 1941008
=======
Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Tatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.Am very sorry kusema we ni kiazi,yaani unaona mtu na mkewe kufa ni kitu cha ajabu au,jingaaa kabisa wewe
Alinizidi mwaka mmoja shuleni, yeye aliondoka la 8 mwaka 65 mimi 66. Mara ya mwisho nilikutana naye Oysterbay akiwa na mzee Cheyo Mapesa.Sio mkubwa sana mkuu..ila alikua amechoka sababu ya pombe
Nasikia alikua anapiga tungi kiama
Ila jamaa alikua kichwa aisee acha kabisa
Na alikua anapenda engineering sana...alikua ana ofisi yake pale Coet 3rd floor inadekiwa kila siku japo hajawahi ingia humo tangu 1990 mpaka 2006
Nigga was smart beyond measure
Fuatilia vizuri , nilimjibu mtu aliyeuliza kuwa aliyekufa ni yeye au mkewe,fuatilia hiyo.mi nikamjibu kuwa mkewe alishatangulia mwaka juzi,kosa liko wapiTatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.
Mimi nashangaa kifo cha mkewe kuhusishwa hapa! Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Luhanga sasa hayo ya kifo cha mkewe yametoka wapi! Kuwa makini unaposoma jambo hakikisha umeelewa vizuri pasipo na shaka kisha toa maoni yako badala ya kutukana, tukana kadiri uwezavyo ukikosa hoja.
Mpelekee makalio akushikishe ukutaVipi maendeleo hapo Halmashauri ya Kakonko mnaendeleaje?
Angalia post no 18Tatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.
Mimi nashangaa kifo cha mkewe kuhusishwa hapa! Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Luhanga sasa hayo ya kifo cha mkewe yametoka wapi! Kuwa makini unaposoma jambo hakikisha umeelewa vizuri pasipo na shaka kisha toa maoni yako badala ya kutukana, tukana kadiri uwezavyo ukikosa hoja.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.Unakataa umejuaje sikujui?
Nakufahamu bana...wewe taja mwaka uliokua unakuja coet nikutajie jina lako hapa live
Nakujua bana....
Ulikua huna pacha wako aliekua engineering wewe uko muhas?Thats a test..
Ikikataa hii nikupe ingine ambayo ndio yenyewe hasa!Ndio utajua watu sisi ni wachawi
Acha uongo.Kuna mtu alitaka TTCL Kajitonyama kiwe Chuo Kikuu cha Waislamu, nadhani walikuja kupewa Chuo cha Tanesco Morogoro sijui
Shikamoo babuAlinizidi mwaka mmoja shuleni, yeye aliondoka la 8 mwaka 65 mimi 66. Mara ya mwisho nilikutana naye Oysterbay akiwa na mzee Cheyo Mapesa.
Acha kujifanya JUAJI wewe mkhundule.Mzee
Mwanaume anaongea na demu wewe unavamia,kama natongoza nitombe wewe kinakuwasha nini?
Sometimes ukiona mwanamke anapewa maneno uwe unajikataa basi
Au kama na wewe unamtaka mtongoze kivyako basi..
Punguza sissyness in you!
Uongo bila wewe kuweka ukweli unakuwa ni mropokajiAcha uongo.
Anyway it's gone, I'm sorry.Fuatilia vizuri , nilimjibu mtu aliyeuliza kuwa aliyekufa ni yeye au mkewe,fuatilia hiyo.mi nikamjibu kuwa mkewe alishatangulia mwaka juzi,kosa liko wapi
Thanx ,asante kwa kuelewaAnyway it's gone, I'm sorry.