TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

Hajatokea wa kufananishwa nae. Ndio alihakikisha TTCL college Kijitonyama iwe sehemu ya UDSM na ndio hii inaitwa CoICT vijana wanapata maarifa kwa viwango vya kimataifa hapa hapa nchini.

Professor wa kweli alieacha legacy katika Uongozi wa vyuo vikuu.
Kuna mtu alitaka TTCL Kajitonyama kiwe Chuo Kikuu cha Waislamu, nadhani walikuja kupewa Chuo cha Tanesco Morogoro sijui
 
Hii machine ilinifundisha Electronics for Engineers second year Foe Engineering..

Mwana saa 2 kamili yupo mlangoni,halafu anawaambia ametoka airport ndio ameingia kutoka United States

Anavunja circuits kwa kichwa kwa hesabu za Laplace Transforms nilikua nabaki natoa macho tu..

Pamoja na umri ulikua umeenda ila kichwa chake ni something else
Umri nadhani hajavuka 74.
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania kwa ujumla. Taarifa zaidi tutaendelea kujulishana. Tumwombee apumzike kwa Amani. Amina.

Dkt. Dotto P. Kuhenga, Mratibu wa Mawasiliano na Habari, UDSM.

View attachment 1941008

=======

Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Alikuwa kichwa wakati ule tukiwa pale hill, apumzike pema.
 
Am very sorry kusema we ni kiazi,yaani unaona mtu na mkewe kufa ni kitu cha ajabu au,jingaaa kabisa wewe
Tatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.
Mimi nashangaa kifo cha mkewe kuhusishwa hapa! Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Luhanga sasa hayo ya kifo cha mkewe yametoka wapi! Kuwa makini unaposoma jambo hakikisha umeelewa vizuri pasipo na shaka kisha toa maoni yako badala ya kutukana, tukana kadiri uwezavyo ukikosa hoja.
 
Sio mkubwa sana mkuu..ila alikua amechoka sababu ya pombe

Nasikia alikua anapiga tungi kiama

Ila jamaa alikua kichwa aisee acha kabisa

Na alikua anapenda engineering sana...alikua ana ofisi yake pale Coet 3rd floor inadekiwa kila siku japo hajawahi ingia humo tangu 1990 mpaka 2006

Nigga was smart beyond measure
Alinizidi mwaka mmoja shuleni, yeye aliondoka la 8 mwaka 65 mimi 66. Mara ya mwisho nilikutana naye Oysterbay akiwa na mzee Cheyo Mapesa.
 
Tatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.
Mimi nashangaa kifo cha mkewe kuhusishwa hapa! Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Luhanga sasa hayo ya kifo cha mkewe yametoka wapi! Kuwa makini unaposoma jambo hakikisha umeelewa vizuri pasipo na shaka kisha toa maoni yako badala ya kutukana, tukana kadiri uwezavyo ukikosa hoja.
Fuatilia vizuri , nilimjibu mtu aliyeuliza kuwa aliyekufa ni yeye au mkewe,fuatilia hiyo.mi nikamjibu kuwa mkewe alishatangulia mwaka juzi,kosa liko wapi
 
Tatizo lako kichwa chako kizito au haujui kiswahili.
Mimi nashangaa kifo cha mkewe kuhusishwa hapa! Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Luhanga sasa hayo ya kifo cha mkewe yametoka wapi! Kuwa makini unaposoma jambo hakikisha umeelewa vizuri pasipo na shaka kisha toa maoni yako badala ya kutukana, tukana kadiri uwezavyo ukikosa hoja.
Angalia post no 18
 
Unakataa umejuaje sikujui?

Nakufahamu bana...wewe taja mwaka uliokua unakuja coet nikutajie jina lako hapa live

Nakujua bana....

Ulikua huna pacha wako aliekua engineering wewe uko muhas?Thats a test..

Ikikataa hii nikupe ingine ambayo ndio yenyewe hasa!Ndio utajua watu sisi ni wachawi
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Unadai unamjua mtu, halafu hapo hapo unataka akutajie mwaka aliomaliza ndio umjue.
 
Acha uongo.
Aisee pale pangependeza mno kungekua chuo pendwa hata Ile masjidi ya Kinondoni (inayojengwa na Mfalme wa Morocco) hapo Kijitonyama hasa kwenye zile playgrounds pangependeza mnoo.
**Tumche, tusichoke
 
Mzee

Mwanaume anaongea na demu wewe unavamia,kama natongoza nitombe wewe kinakuwasha nini?

Sometimes ukiona mwanamke anapewa maneno uwe unajikataa basi

Au kama na wewe unamtaka mtongoze kivyako basi..

Punguza sissyness in you!
Acha kujifanya JUAJI wewe mkhundule.

Dada wa watu ashakwambia mara kibao haumjui. Hajasoma CoET. Mjinga umekaza fuvu tu.

Halafu ulivo fala sasa. Eti:
"mimi nakujua weeee... Taja mwaka uliomaliza nikutajie jina lako..." (huku umebana pua)
 
Back
Top Bottom