Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Umakini wa kuweka saini yake kwenye zile terms za kinyonyaji kuwapa waarabu bandari yetu milele?!
Watu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif***ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma *****.
 
Ha
Hakuna Mtanzania mzalendo tusidanganyane, na Kama wapo basi wachache Sana na hawapo kwenye siasa.

Wanaoonekana Wazalendo hawana uzalendo wowote isipokuwa wanawaonea wivu wanufaika wa upigaji
Njaa tuu na kukosa cheo
 
mbarawa ni fisadi na pigaji la mali za umma ndio maana linaona wazalendo kama mpina anapolipinga linaona linapingwa kufanya upigaji.
Mzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.


Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.

Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
 
Watu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif*ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma ***.
Mkuu kwa nini unasema wabara washamba?
Bara washamba kwamba wanaishi juu ya miti au?
Nini mna maendeleo kushinda wabara?
 
Mkuu kwa nini unasema wabara washamba?
Bara washamba kwamba wanaishi juu ya miti au?
Nini mna maendeleo kushinda wabara?
Kwanini mnajiona nyie ndio wazalendo kuliko watu wa pwani?kwanini mnapenda struggle na shida shida na mmejaa chuki?

Nimesema washamba sababu hawana exposure,yaani uwezo wenu wa kufikiria upo limited sana na sio kosa lenu ni mazingira.

Coastal areas hapa tz zilikua ni sehemu za biashara na lango la kuingilia tz,watu wake walijichanga na watu mbali mbali(waarabu,wahindi,Persians na jamii nyengine za ukanda huo) hivo kujifunza na kuelewa vitu mbalimbali mapema kuliko huko bush.
 
Mzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.


Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.

Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
Siyo porojo tu, ana upeo mdogo pia wa mambo. Na bahati mbaya sio faswaha hata wa kuongea. Wanaomuona kichwa sijui wao vichwani mwao kuna nini.
 
Back
Top Bottom