Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Mzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.

Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.

Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
Kwa taadhima na busara, Bi Kinyogoli tuambie hiyo EPC + Finance baada ya kukabidhiwa nani atalipa hizo pesa? Pesa zitatoka wapi? Maana problem yote ni Finance, sina mashaka wachina ndiyo watapata hizo kazi.
Mbarawa hajasema hizo pesa zitalipwaje. Hao wajomba zenu wajenge barabara Tanzania bure?
 
DPW TPA Dar italipa.

Wajomba zako TICTS kwa miaka 30 walikulipia nini?

Kujengewa na wajomba zetu Waarabu bure haitakuwa mara ya kwanza, Uliza daraja la Mkapa lilijengwa na nani bure?

Sasa sema wewe, wanaotulazimisha ushoga walitujengea wapi bure?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
DPW TPA Dar italipa.

Wajomba zako TICTS kwa miaka 30 walikulipia nini?

Kujengewa na wsjomba zangu bure haitakuwa mata ya kwanza, Uliza daraja la Mkapa lilijengwa na nani bure?

Sasa sema wewe, wanaotulazimisha ushoga walikujengea wapi bure?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Sasa Kwa nini Mbarawa haongelei ulipaji? Maana kamlaumu tu Mpina kuwa mzush. Hamjatoa ufafanuzi ulipaji utatoka wapi, upo mkatabani?

Mliua MECCO leo ndiyo kabisa faida ya construction industry inaenda nje 100%. Hiyo ya bandari (ingawa kweli inaendeshwa vibaya) itatoa almost foreign earnings kulipwa Dubai, huoni hapo sovereign inauzwa? Utajivunia nini? Ukiona ufunguo wa Nchi na Construction Industry imeshikwa na wageni basi nyie ni nchi ya vikaragosi. Hamfai kitu.

Anyway, we are in for it, usimlaumu dobi kaniki ndiyo rangi yake. Tuone lipi lijalo maana wenye uwezo huo “are not yet born”
 
Unajuwa maana ya Financing?

Usipende vya bure wakati una uwezo wa kulipa mwenyewe.

Wewe utakuwa ndiyo wale ukitumwa safari ya kikazi unakwenda kupandia kwa ndugu huku posho ya safari unaichimbia. Badilika, usiwe tegemezi, Jitegemee.

Mama anaupiga mwingi.
 
Sasa haya ni mambo ya kuvunjiana heshima ati, unaenda kwenye character assassination. Financing definition au ? Unapofanya mradi lazima pesa iwepo. EPC peke yake haina maana kama hakuna pesa. Hapa Wakisema EPC + Financing wana maana huyo contractor atakayepata hiyo EPC lazima aje na fedha yaani financing.

Na Mbarawa kadanganya kasema ati EPC + Financing ni term mpya, mwongo mkubwa, it existed all the time
 
Wacha porojo na kubwabwaja bila mpango, katazame bajeti ya wizara ya Mbarawa.

Tunafahamu ukweli unauma, agenda imebuma.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
hahahaaaa....

Waziri anadai:

"Barabara za kulipia zinaitwa Expressway.
Uingereza zinaitwa Motoways
Za bure zinaitwa Highways
Sisi tunajenga Highways
Hii ya Singida ni Highway! "

Spewing a bunch of crap!

Sijui kaishi nchi gani huyu Waziri.... haelewi chochote halafu anataka kumuelimisha Mpina.

Barabara ya kulipia inaitwa TOLL ROAD!

Plain and simple!

Motorway, Expressway, Freeway, Highway.... same shit! Inaweza kuwa ya bure au kulipia. Mbarawa, tukuelimishe wewe! TOLL ROAD.
 
Watu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif*ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma ***.
Mrudi kwenyu KIEMBESAMAKI
 
hahahaha eti hata maji ya Mfereji hakuna… wewe kweli unatokea unguja. maeneo ya Dole
 
Unajuwa maana ya Financing?

Usipende vya bure wakati una uwezo wa kulipa mwenyewe.

Wewe utakuwa ndiyo wale ukitumwa safari ya kikazi unakwenda kupandia kwa ndugu huku posho ya safari unaichimbia. Badilika, usiwe tegemezi, Jitegemee.

Mama anaupiga mwingi.
Umelipwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom