ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #141
🗑️🗑️Tusipotezeane muda soma tena utaelewa km una akili
🗑️🗑️Tusipotezeane muda soma tena utaelewa km una akili
Hii thinking yako ni ya kipuuzi sana, unasema tumejaa chuki wakati dhahiri mkataba walioingia serikali ya Samia na waarabu unaonesha ulivyo wa kinyonyaji, kwamba kwa huu ujinga wako wa kutousoma mkataba ndio unajiona mzalendo mwenye exposure!.Kwanini mnajiona nyie ndio wazalendo kuliko watu wa pwani?kwanini mnapenda struggle na shida shida na mmejaa chuki?
Nimesema washamba sababu hawana exposure,yaani uwezo wenu wa kufikiria upo limited sana na sio kosa lenu ni mazingira.
Coastal areas hapa tz zilikua ni sehemu za biashara na lango la kuingilia tz,watu wake walijichanga na watu mbali mbali(waarabu,wahindi,Persians na jamii nyengine za ukanda huo) hivo kujifunza na kuelewa vitu mbalimbali mapema kuliko huko bush.
Kichwa kilichojaa mitusi ni dhahiri hakina kitu ndani yake, ni sawa na boga au tikiti maji tu!.Watu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif*ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma ***.
Waarabu ndio the epitome of civilization my friend. Mesopotamia ndio first civilization in this world kutokea kwahiyo kusema kua waarabu Wana ustaarabu na huo ustaarabu ndio wakauambukiza east Africa sio vibaya. Anyway ndio maana zamani watu wapwani waliwaita watu wa Bara "washenzi" Huku wao wakijiiita "waungwana" Kwa sababu ya kutokua na ustaarabu.Umezoea kuzibuliwa mfereji basi neno mifereji umelishika,huku kwetu mifereji ni ya kupitisha maji taka na sisi hatunywi maji taka.
Katafute bwana wa kiarabu Oman akuzibue mifereji akuambukize uarabu kidogo maana nyie kwa kupenda uarabu hamjambo utakuta jitu jeusi kama kunguru lakini yeye anajiona ni mwarabu na atadai mababu zake wana asili ya Oman!
Mmefikia kututakana wabara kiasi hichi!Waarabu ndio the epitome of civilization my friend. Mesopotamia ndio first civilization in this world kutokea kwahiyo kusema kua waarabu Wana ustaarabu na huo ustaarabu ndio wakauambukiza east Africa sio vibaya. Anyway ndio maana zamani watu wapwani waliwaita watu wa Bara "washenzi" Huku wao wakijiiita "waungwana" Kwa sababu ya kutokua na ustaarabu.
Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Mbarawa pia hajui kuwa motorways na highways ni kitu kimoja tuu... Americans wanasema highways wakimaanisha motorways... barabara za kulipiwa zinaitwa TOLL roads.. Express way Haina maana kwamba inalipiwa... anyways kama kaamua kupotosha na akakubaliwa kufanya hivyo...who am I to say otherwise kama wananchi wake ambao ndio wamempq dhamana awe Waziri wao wa barabara na miundombinu.Prof Mbarawa ni mtu makini sana. Asante Kwa kudadavua.
Pia anasema highways na motorways ndio barabara za kulipiwa?...hajui kwamba zote ni kitu kimoja na wala sio barabara za kulipiwa... yaani sometimes ninashukuru international news network hazitangazi habari zetu kama hizi...can you imagine watu wenye uelewq wa mambo wanakaa meza moja ku-negotiate international contracts na Tanzania tunawaperekea Mbarawa!?...no wonder hii nchi itaendelea kupigwa mpaka vitukuu wetu wakane UTANZANIA, manake kuwa descendants wa watu aina ya kina Mbarawa huko mbeleni itakua aibu kuliko wale wa kina chief Mangungokwamba expressway=barabara ya kulipiwa ????
ArroganceAmwogope Kwa lipi? Angekuwa anamwogopa si angeghairisha mipango yake?
Kweli kabisa, umenikumbusha ukarabati wa kivuko kimoja cha Kigamboni!Prof Mbarawa ni mtu makini sana. Asante Kwa kudadavua.
Na kama umeshafanya utafiti...hakuna Waziri aliyepigwa chini na Magu ambaye ameji-redeem baada ya re-appointment...wote wako wanapambania legitimacy.Huyu mbarawa ni profesa kila.za sana! Mbona sioni anachoeleza cha maana ambacho Mpina amepotosha?!
Profesa aliyesaini mkataba wa kijinga wa "kuuza" Bandari zetu nimsikilize kwa lipi?!
Yaani niache kumsikiliza mzalendo Luaga Mpina nimsikilize mbarawa?!
Huyu profesa mbarawa ni useless ndio maana Hayati Magufuli alimpiga chini baada ya kujua ni mbabaishaji!
Pemba hakuna mito utakutaje kambale? Halafu tumezungukwa na bahari samaki siyo shida hata kidogo, kwa kwetu Pemba kambare (tunamwita hivyo) siyo samaki wa kula kabisa.Nilipokuja Pemba nikakuta kitoweo ni kambale wa kufugwa nilishangaa sana 😄😄
Hao akina Mkwawa ni washenzi tu kama hawa CCM, hao walikua madalali wa utumwa na walipigana kulinda biashara zao zilizohatarishwa na wavamizi.😂😂😂
Mungu Endelea kuwalaza Usingizi akina Mkwawa huko Tanganyika maana Wakiamka hapatatosha!
Hata machawa nyote ni wapigaji tu, mnakula kwa kutetea uovuUnaweza tuthibitishia?
Mtu siwezi kumnyooshea kidole kwa upigaji ni Nyerere pekeeHao akina Mkwawa ni washenzi tu kama hawa CCM, hao walikua madalali wa utumwa na walipigana kulinda biashara zao zilizohatarishwa na wavamizi.