ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Hao sio wazalendo ni mbumbumbu na wajingaKwanini mnajiona nyie ndio wazalendo kuliko watu wa pwani?kwanini mnapenda struggle na shida shida na mmejaa chuki?
Nimesema washamba sababu hawana exposure,yaani uwezo wenu wa kufikiria upo limited sana na sio kosa lenu ni mazingira.
Coastal areas hapa tz zilikua ni sehemu za biashara na lango la kuingilia tz,watu wake walijichanga na watu mbali mbali(waarabu,wahindi,Persians na jamii nyengine za ukanda huo) hivo kujifunza na kuelewa vitu mbalimbali mapema kuliko huko bush.