ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #21
Hao sio wazalendo ni mbumbumbu na wajingaKwanini mnajiona nyie ndio wazalendo kuliko watu wa pwani?kwanini mnapenda struggle na shida shida na mmejaa chuki?
Nimesema washamba sababu hawana exposure,yaani uwezo wenu wa kufikiria upo limited sana na sio kosa lenu ni mazingira.
Coastal areas hapa tz zilikua ni sehemu za biashara na lango la kuingilia tz,watu wake walijichanga na watu mbali mbali(waarabu,wahindi,Persians na jamii nyengine za ukanda huo) hivo kujifunza na kuelewa vitu mbalimbali mapema kuliko huko bush.
Punguza ufala wewe mbuzi
Mbarawa anastahili kunyongwa kwa kuweka saini yake kuonesha kukubaliana na zile terms zilizowapa DP World bandari yetu wabara.
Sio kosa lako Bali ni kopo ulilobeba unaitwa kichwa 😁😁Ikulu ya Tanganyika sio lango la kuuza nchi kwa waarabu
Haki itapatakina
Kesho wewe ndio utakuwa fala Mungu akiamua
Baada ya kupambana Kwa nguvu zote kijijini kwao maji yatoke bombani anawaza bandari ambayo hajawahi hata kuitumia,halafu wenye bandari watu wa pwani Wala hawana tabu sababu wapo exposed. Huyo mwaarabu wanaemuogopa kila siku dada zao wanapenda huko kuuza papuchi na kula bata.Hao sio wazalendo ni mbumbumbu na wajinga
Kweli kabisaHa
Hakuna Mtanzania mzalendo tusidanganyane, na Kama wapo basi wachache Sana na hawapo kwenye siasa.
Wanaoonekana Wazalendo hawana uzalendo wowote isipokuwa wanawaonea wivu wanufaika wa upigaji
Nchi hii ukiwa na uelewa mpana Huwezi kuchaguliwa kuwa KiongoziMzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.
Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.
Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alipokuwa anapima samaki waliokaangwa kwa ruler
Tena Samia na Mbarawa wanalenga kuwasaidia Ili Bandari ilete pesa zaidi ila Kwa kuwa yamejaa mauji vichwani hayaelewi kitu..Baada ya kupambana Kwa nguvu zote kijijini kwao maji yatoke bombani anawaza bandari ambayo hajawahi hata kuitumia,halafu wenye bandari watu wa pwani Wala hawana tabu sababu wapo exposed. Huyo mwaarabu wanaemuogopa kila siku dada zao wanapenda huko kuuza papuchi na kula bata.
Noma mwanangu,yaani umaskini ni laana. Maskini ana roho,chuki na mbinafsi sana. Maskini hafkirii kesho yeye anafkiria mkose wote.Tena Samia na Mbarawa wanalenga kuwasaidia Ili Bandari ilete pesa zaidi ila Kwa kuwa yamejaa mauji vichwani hayaelewi kitu..
Ndio hasara ya ujamaa mentality waliorithishwa na Babu Yao full umaskini
Uongo wa mbarawa. Sisi tunamuamini mpina tena sana. Hivi hiyo document waliyopeleka bungeni wao wanaona masharti yale ni sawa? Wanadanganya watu or sio mkataba ni concession tu or ni nini sijui. Kama ni concession hayo mashari ya kikoloni ni ya nini? Wanajidai eti kifungu namba fulani ukisoma soma pamoja na kifungu sijui kipi. Mnatuletea ufisadi wa kisheria. Tumeona jinsi richomond/dowans, iptl na mikataba mingi tu serikali haishindi hata kesi moja hadi ameingia jpm. Vifungu vya kidhalimu kwenye mikataba ili itakapotokea mgogoro haki ya nchi iweze kuuzwa/kununuliwaSikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Utawalaumu Bure watu wamekulia mda wote wanaona vijambio vya ng'ombe sio rahisi kuwa na akili 😂😂Noma mwanangu,yaani umaskini ni laana. Maskini ana roho,chuki na mbinafsi sana. Maskini hafkirii kesho yeye anafkiria mkose wote.
Bakieni na maujinga yenu vichwaniUongo wa mbarawa. Sisi tunamuamini mpina tena sana. Hivi hiyo document waliyopeleka bungeni wao wanaona masharti yale ni sawa? Wanadanganya watu or sio mkataba ni concession tu or ni nini sijui. Kama ni concession hayo mashari ya kikoloni ni ya nini? Wanajidai eti kifungu namba fulani ukisoma soma pamoja na kifungu sijui kipi. Mnatuletea ufisadi wa kisheria. Tumeona jinsi richomond/dowans, iptl na mikataba mingi tu serikali haishindi hata kesi moja hadi amei gia jpm. Vifungu vya kidhalimu kwenye mikataba ili itakapotokea mgogoro haki ya nchi iweze kuuzwa.
Tupo mbonaKweli kabisa
Hakuna mzalendo sahvi
Ova
Darsa muhimu. Tusubiri wazee wa waraka naoMzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.
Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.
Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
Asante kwa taarifa hii, Mpina hajawahi kuwa Mbunge wa Africa Mashariki, nimemsikiliza Mbarawa hajasema Mpina ni mbunge wa Africa Mashariki, aliwa kuwa mbunge wa Bunge la Africa na sia Africa Mashariki.Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.