Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Nyie wazanzibar msituletee mambo ya mangungo
 
Sasa uyo tulia aliyerubuniwa kwa pesa za damu za waarabu ili abariki uuzwaji wa nchi yetu wa kusikilizwa?

Jifunze kujielimisha usiwe mjinga
Sio kosa lako Bali ni kopo ulilobeba unaitwa kichwa [emoji16][emoji16]
 
Samia na mbalawa mpira mnaopiga hakuna golikipa anaweza daka mashuti yenu, mnaupiga mwingi mno
 
Kama lugha ya malkia anaijua vizuri basi fasihi ya lugha haijui ndio maana anasaini pasipo kujua.
Fatma Karume alisema hakuna kitu Serikali itasaini bila Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya vetting and so akasema mkamuulize mtanganyika mwenzenu, Mbarawa ni user department tuu ,swala la Asaini au asisaini ni la Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Nyie wazanzibar msituletee mambo ya mangungo
Vasco da gama wakati anatafuta njia ya bahari kufika India(1400s),alivofika ukanda wa Afrika Mashariki akashangaa kuona miji imeshamiri Kwa biashara, Akakutana na wahindi,waarabu,weusi na waajemi wakifanya biashara na watu wa Huku kupitia pepo za monsoon. Na akatumia pepo hizo hizo za monsoon kwenda India kutokea East Africa. Sasa pata picha watu wa Bara huko walikua katika hali Gani miaka hiyo 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…