Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Nchi hii ukiwa na uelewa mpana Huwezi kuchaguliwa kuwa Kiongozi

RA anapenda Matutusa!
Una haki na mawaso yako.

Mbarawa katowa darsa zuri kwa Mpina na wale kama wewe. Ukipenda unalikubali hukuoenda unalikataa, upo huru.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Kwanini Mbarawa anamwogopa sana Mzalendo Mpina?
Huenda Mpina yupo sahihi na muda si mrefu Watanganyika tutajua.

Huyu Mbarawa aliyesaini mkataba wa Bandari wenye vipengele vya aibu hawezi kuaminika kamwe. Anayo hofu kubwa na anamwogopa Mpina
 
Amwogope Kwa lipi? Angekuwa anamwogopa si angeghairisha mipango yake?
 
Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Kwanini barabara ya kutoka SINGIDA- CHUNYA- MBEYA haikuwekwa kwenye mradi huu Ili iweze kuwekwa lami?

Waziri wa fedha anatokea SINGIDA ila hii barabara haijui na hajui faida zake katika kuiuza uchumi wa kanda ya kati ikiwemo SINGIDA yenyewe.
 
Hata Mimi Sina majibu Mkuu
 
Mwigulu Mchemba: Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami kutoka Manyoni-Itigi - Rungwa~Makongolosi - Chunya kuanzia kujengwa Jan 2024.

Barabara hii itaunganisha mikoa ya Singida- Tabora- Mbeya kuelekea Malawi na Zambia.
 
Mbona ametumia muda mwingi kumshambulia Mpina kuliko kuwafafanulia Wananchi hiyo EPC+Finance?
 
Mkuu kwa nini unasema wabara washamba?
Bara washamba kwamba wanaishi juu ya miti au?
Nini mna maendeleo kushinda wabara?
mbona umenuna kwa kuitwa mshamba wakati kila siku hapa munawasema wazenji washamba?
 
Yaani tena unazungumzia kunywa maji ya mfereji kama vile ni jambo la maana. Watu wanazungumzia maji ya bomba.
 
Mbarawa! Tafadhari, jiondoe kwenye laana ya kubinafisisha Bandari zetu
Bandari zenu!?
Kina nani nyie?
Bandari ziko Pwani, ni zao watu wa Pwani. Sie zetu ni mbuga za wanyama, milima, madini
 
Sio kweli ccm haina shida kwanza ni chama chenye itikadi nzuri tu ya kujali maslahi ya umma. Mi ni ccm wala huwezi kuni convince kubadili chama.
Tatizo watu kama wewe hamueliwi. Kuna tabaka la wahuni hata cdm siku iingie kushika dola mtawaona tu. Ccm ilijikomboa na hao wahuni kipindi cha jpm sasa wamerejea kushika usukani. Huo ndio ukweli.
Hebu nieleze wakati wa jpm mkataba kama huu usingeweza kuletwa lakini wapinzani mlimuita dikteta. Ukweli wazalendo tuungane tu bila kujali chama kupinga huu ubeberu unakuja kupitia dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…