ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #101
Ufafanuzi umetolewa sio mara Moja Bungeni na Mbarawa na Mwigulu ila hamtaki kuelewa Sasa tuwasaidiaje?..Nimesikiliza video.
..Nyinyi wenye uelewa mnatakiwa mtoe ufafanuzi kwa sisi tusioelewa.
..Sio sahihi kutuamrisha tuache kuuliza maswali, au kuhoji.
Kuna tofauti ya unachokisema na alichofanya Mpina. Mpina hakupita hiyo njia unayosema ya kutaka ufafanuzi bali yeye alielewa alivyoelewa na kufanya upotoshaji kwenye jamii. Plz check your fact first.Prof.Mbarawa alitakiwa ajibu hoja za Mh.Mpina bila kuanza kumshambulia na kumdhalilisha.
..Kitu kingine ambacho Prof. hajakifafanua ni tofauti ya model ya ujenzi wa barabara iliyokuwa ikitumika awali, na model ya EPC+F wanayokwenda kutumia.
Umezoea kuzibuliwa mfereji basi neno mifereji umelishika,huku kwetu mifereji ni ya kupitisha maji taka na sisi hatunywi maji taka.Watu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif*ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma ***.
Kuna tofauti ya unachokisema na alichofanya Mpina. Mpina hakupita hiyo njia unayosema ya kutaka ufafanuzi bali yeye alielewa alivyoelewa na kufanya upotoshaji kwenye jamii. Plz check your fact first.
Thread ifungwe sasa.Ha
Hakuna Mtanzania mzalendo tusidanganyane, na Kama wapo basi wachache Sana na hawapo kwenye siasa.
Wanaoonekana Wazalendo hawana uzalendo wowote isipokuwa wanawaonea wivu wanufaika wa upigaji
Ufafanuzi umetolewa sio mara Moja Bungeni na Mbarawa na Mwigulu ila hamtaki kuelewa Sasa tuwasaidiaje?
Acha kutukana watu we uwazuri.Punguza ufala wewe mbuzi
Sasa darasa gani,kila Barbara inayojengwa mwananchi analipa either directly or indirectly.Mzalendo wako kapewa darsa adhim na adim. Nfahamu nawe Limekuingia.
Kutemwa madaraka siyo chuki jamani, ni faida kwa nchi. Waliokupanguwa wameona hupawezi ulipo.
Sasa naelewa kwanini mpina alitemwa, kumbe ni porojo nyingi tu, hana uelewa mpana.
Huyo uliyemtaja kwani ni Mwanasiasa? Ulitaka Waziri asimshambukie kwani yeye hakushambuliwa?..mbona Wo shi niubi ametoa maelezo mazuri kuliko ya waziri Prof.Mbarawa?
..tena amefafanua bila kushambulia au kumtisha yeyote.
JokaKuu wewe ni mkongwe Sana humu si vema kuongea kwa njia ya kumtia maneno mtu, hebu isikilize vizuri hiyo video usikie alichokisema Prof. Mbawara. Mbona ameongea vizuri tu kuwa usiseme jamba kama hulijui.Hata kama mtu amekosea, Je, hastahili kupewa ufafanuzi badala yake anaamrishwa akome kuuliza maswali?
..WABUNGE wana haki ya kuihoji serikali, lakini Prof anawaambia wakome.
Huyu Waziri apongezwe kwa hatua hii kubwa.Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Kulala na kusaini mkataba wapi na wapi? Articles zilishaandaliwa kitambo hapo ni Saini..Kuna jamaa Analala hapo mpk anataka kuanguka👆, huyo Mbunge Selelii sijui.
Huku wachina macho ndogo hawa wanakabidhiana mikataba na kusaini.
Aliyetulaani nani nikamuombe msamaha🥲.
JokaKuu wewe ni mkongwe Sana humu si vema kuongea kwa njia ya kumtia maneno mtu, hebu isikilize vizuri hiyo video usikie alichokisema Prof. Mbawara. Mbona ameongea vizuri tu kuwa usiseme jamba kama hulijui.
Bandari Ya B-A-R-A !!! (To Be Precise) !!Umakini wa kuweka saini yake kwenye zile terms za kinyonyaji kuwapa waarabu bandari yetu milele?!
Mpina nikchaa kazulumu wavuvi hajuwi ninianasema analaanaSikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Kusaini mkataba kabla ya kila kitu ndio inafanyika kisa 10%.Kulala na kusaini mkataba wapi na wapi? Articles zilishaandaliwa kitambo hapo ni Saini..
Hivi hujawahi Saini mkataba wowote nini ndio maana unashangaa? Kusaini mkataba sio ajali Wala kuviziana inakuja baada ya majadiliano Kukamilika.
Sio kweli. Upite mitaani useme unachotaka halafu usubiri kusahihishwa, big NO. Hoji chochote lakini inapokuja kwenye kusema, sema kile unachokijua na kama hukijui basi pata elimu nacho kwanza (fanya rejea au uliza)..kila mtu awe na RUKSA ya kusema, kama amekosea atasahihishwa.