Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Hii thinking yako ni ya kipuuzi sana, unasema tumejaa chuki wakati dhahiri mkataba walioingia serikali ya Samia na waarabu unaonesha ulivyo wa kinyonyaji, kwamba kwa huu ujinga wako wa kutousoma mkataba ndio unajiona mzalendo mwenye exposure!.

Hovyo kabisa.
 
Nilikuwa naheshimu sana Prof Mbarawa ila miaka hii 2 daaa siamini kabisa macho akili na masikio yangu siaminiìiii
 
Kichwa kilichojaa mitusi ni dhahiri hakina kitu ndani yake, ni sawa na boga au tikiti maji tu!.

Niko town hapa unasema nimetoka bush.. Samia wako nae ni Shetani tu.
 
Waarabu ndio the epitome of civilization my friend. Mesopotamia ndio first civilization in this world kutokea kwahiyo kusema kua waarabu Wana ustaarabu na huo ustaarabu ndio wakauambukiza east Africa sio vibaya. Anyway ndio maana zamani watu wapwani waliwaita watu wa Bara "washenzi" Huku wao wakijiiita "waungwana" Kwa sababu ya kutokua na ustaarabu.
 
Mmefikia kututakana wabara kiasi hichi!
Waarabu sio ndio walikuwa vinara wa biashara ya utumwa na ujangili!
 
Prof Mbarawa ni mtu makini sana. Asante Kwa kudadavua.
Mbarawa pia hajui kuwa motorways na highways ni kitu kimoja tuu... Americans wanasema highways wakimaanisha motorways... barabara za kulipiwa zinaitwa TOLL roads.. Express way Haina maana kwamba inalipiwa... anyways kama kaamua kupotosha na akakubaliwa kufanya hivyo...who am I to say otherwise kama wananchi wake ambao ndio wamempq dhamana awe Waziri wao wa barabara na miundombinu.
 
kwamba expressway=barabara ya kulipiwa ????
Pia anasema highways na motorways ndio barabara za kulipiwa?...hajui kwamba zote ni kitu kimoja na wala sio barabara za kulipiwa... yaani sometimes ninashukuru international news network hazitangazi habari zetu kama hizi...can you imagine watu wenye uelewq wa mambo wanakaa meza moja ku-negotiate international contracts na Tanzania tunawaperekea Mbarawa!?...no wonder hii nchi itaendelea kupigwa mpaka vitukuu wetu wakane UTANZANIA, manake kuwa descendants wa watu aina ya kina Mbarawa huko mbeleni itakua aibu kuliko wale wa kina chief Mangungo
 
Na kama umeshafanya utafiti...hakuna Waziri aliyepigwa chini na Magu ambaye ameji-redeem baada ya re-appointment...wote wako wanapambania legitimacy.
 
Huyu Mbarawa na Mama yake tusipokiwa makini watatuingiza kwenye uchochoro na hatutatoka kamwe.
 
Napongeza hii initiative ya Serikali
Japo yatupasa kuwa makini na gharama Za wakandarasi kutokuwa kubwa kuliko bei ya soko.

Pili lazima reinforcements ya quality monitoring iwe na uwezo pia mamlaka ya kuhakikisha barabara zetu zinakuwa na ubora stahili (Value for Money).

Tatu,Nchi yetu tayari Ina undertake turnkey mega infrastructure projects (SGR,Stigler,BRT,Etc)..Kimsingi uchumi wetu umeelemewa sana..Hatukupaswa kuharakisha kusign mikataba ya kandarasi zote Kwa wakati mmoja..EPC+F ni mkopo (Mkandarasi anajenga mradi Kwa kukopa Kwa niaba ya serikali in which sense tukilipa tunalipa na riba zote involved na zaidi sana tukichelewa kulipa kuna penalties..

Nchi yetu bado ni Changa,Hatupaswi kuwa na haraka sana ktk ujenzi wa miradi ambayo ROI si ya muda mfupi..Modalities Za EPC+F makampuni yanakopa kwenye commercial banks (Local or International)..Kuna riba..

Nadhani tuendako kwenye infrastructure projects tuangalie uwezekano wa ku implement EPC+F yenye BOT Modalities (Build,Operate and Transfer) hivyo contractor anakuwa na perspective ya kibiashara pia hivyo Hawezi ku overcharge au kujenga mradi chini ya kiwango.

Nne,Miradi yote tajwa inajengwa kwenye ukanda wa madini ya thamani kubwa (Vito na Rare Earth Metals)..Wachina wanajua nini Tuko nacho chini ya ardhi kupitia espionage satellite zao hivyo haya makampuni mengi makubwa ni State Owned or affiliated (SOE) hivyo yana mission zaidi ya ujenzi wa barabara (Ktk Hili nashauri vyombo vyetu vya usalama kufuatilia hili na kuwezeshwa ili kuziba mianya mikubwa ya utoroshaji na uvunaji wa rasilimali Za nchi..

Mwisho,Utekelezaji wa mipango ya maendeleo iende sambamba na ujenzi wa mifumo ya uzalishaji mkubwa (Kilimo,Ufugaji,Viwanda) ili kunenepesha uchumi na kuwezesha serikali kulipa madeni makubwa yatokanayo na mikopo toka Bank Ya Dunia,Benki ya maendeleo ya Afrika n.k.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu Endelea kuwalaza Usingizi akina Mkwawa huko Tanganyika maana Wakiamka hapatatosha!
Hao akina Mkwawa ni washenzi tu kama hawa CCM, hao walikua madalali wa utumwa na walipigana kulinda biashara zao zilizohatarishwa na wavamizi.
 
Hao akina Mkwawa ni washenzi tu kama hawa CCM, hao walikua madalali wa utumwa na walipigana kulinda biashara zao zilizohatarishwa na wavamizi.
Mtu siwezi kumnyooshea kidole kwa upigaji ni Nyerere pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…