Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender.
Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...
IMG-20230714-WA0024.jpg
IMG-20230714-WA0030.jpg
IMG-20230714-WA0039.jpg
 
Hajambo Kabisa, uhali Gani wewe?
Msalimie.

Mimi mzima kabisa, namuona aliyekuwa Makamo wake wa Rais anaendeleza alipopaacha, mwambie lakini mama ni mpole sana, tunatamani awe na ukali japo nusu ya tu magufuli.
 
Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
 
Alitaka ku-preempty Press ya Mzee Freeman Mbowe
 
Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender.
Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...View attachment 2687713View attachment 2687714
Kiukweli hili eneo bado halina maelezo ya kutosha,tungependa kupata maelezo ya kina na kuona huo mchujo,ili tujiridhishe kwamba fedha haijatembea.
 
Kiukweli hili eneo bado halina maelezo ya kutosha,tungependa kupata maelezo ya kina kuona huo mchujo,ili tuondoe mawazo kwamba labda fedha imetembea.
Google tu "Dar Port tender" utapata majibu, huna haja ya mtu kukuaminisha kitu, ni tender ya Kimataifa hiyo.
 
Back
Top Bottom