Sikiliza kijana, hakuna sheria ya Kibinadam isiyoweza kupindishwa.
Watu wanapindisha sheria za biblia itakuwa sheria hizi za kibinadam?
Tilochokuwa nacho ni IGA, IGA ni makubaliano ya Kimataifa yanayolindwa kimataifa, wacha kuipindisha, hata uiweke juu chini, haikuondoi kwenye haki.
Wakili asiyoyajuwa hayo ni mjinga tu.
kwanza kazi ya uwakili siyo ya kuingia mitandaoni na kuanza kusema uongo. Kazi yake ni simple tu, kuisaidia mahakama kufikia uamuzi wa haki. Si aende mahakamani?
Na kile wakili anaeenda mahakamani kwa iGA hii ataishia kusomeshwa tu na hakimu. Na akizidi ataambiwa alipe gharama za aliowaita mahakamani kuwashitaki.
Si ndiyo maana unawaona wanapiga makelele nje huku. Si waende mahakamani?