Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

Kwa nini huu mkataba hautaji muda wa kusitishwa kwake..?
Na kwa nini pesa ilikopwa WB kwa ajili ya kuongeza ufanihisi halafu muda mfupi tu inasainiwa mkataba wa Dubai port..? Mbona kama hapa pia kuna mazingira ya ufisadi...?
 
Nilichouliza ni kingine we unanitumia links ya jambo tofauti, makampuni yaliyo wanna tenda ni yapi..?

Hata matatu tu yasemwe hapa halafu thingies kwenye pages yao tuwaulize..?
 
Uzuri ni kuwa sheria zaa Kimataifa hazitungwi bungeni kwetu, bungeni zinakuwa "endorsed" tu.

Sheria za Kimataifa hata muwe wajinga vipi mnalindwa na Umoja wa Mataifa. Siyo na mawakili uchwara wa Tanzania.
Mawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!
 
Kwa nini huu mkataba hautaji muda wa kusitishwa kwake..?
Na kwa nini pesa ilikopwa WB kwa ajili ya kuongeza ufanihisi halafu muda mfupi tu inasainiwa mkataba wa Dubai port..? Mbona kama hapa pia kuna mazingira ya ufisadi...?
World bank siku hizi haikupi pesa za kazi wewe mkopaji. Inalipa mtendaji kazi moja kwa moja,

Hakuna mkataba wa Dubai port, usidanganywe. Kuna mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya Tanzania na Falme ya Dubai.

Kuhusu mkataba wa kuendesha bandari, bado hajatangazwa mshindi, jisomeee, kimataifa hukoi wanaelewa kuliko sisi wa nyumbani:

Google tu "Dar Port tender" utapata majibu, huna haja ya mtu kukuaminisha kitu, ni tender ya Kimataifa hiyo.
Dar Port ina tender nyingi sio za ku-lease Bandari tu,ila asante.Hata hivyo kujikanyaga kwao kwenye maelezo kunaonyesha kwamba kuna shida,hawanyooshi maelezo!
 
World bank siku hizi haikupi pesa za kazi wewe mkopaji. Inalipa mtendaji kazi moja kwa moja,

Hakuna mkataba wa Dubai port, usidanganywe. Kuna mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya Tanzania na Falme ya Dubai.

Kuhusu mkataba wa kuendesha bandari, bado hajatangazwa mshindi, jisomeee, kimataifa hukoi wanaelewa kuliko sisi wa nyumbani:

Unapingana na Mbarawa??
 
Mtanikumbuka😂😂😂!
Mtu yupo Chato katuletea salamu zake unagtaka tusizipokee? Au umedandia treni kwa mbele?

Kuna dictator asiyekumbukwa duniani? Hitler, Mussolini, Nyerere hujawahi kuwasikia wakikumbukwa?
Unapingana na Mbarawa??
Huwa ssikisii, jisomee:

Siku mbili tatu zijazo tutajuwa mshindi, mchakato unaendelea.

Walioikosa hii kazi kwa masharti yaliyowekwa na TPA washajielewa, ndiyo wanafanya kila njia hii kazi isitishwe wajipange upya.

DP World wana kila sabau ya kujivunia, mitamboi wanyo tayari, kiasi cha kuivya bandari mojawapo ya Dubai na kuihamishia hapa.

adani hilo ndilo limewashinda, mitambo mpaka wayie order.

AD Ports, washashindwa mapema, kwani wao walikuwemo kwenye TICTS indirectly, yakawashinda huko.
 
Uongozi unaojikita kwenye uchawa umenifanya nicheke leo!
Mwandishi mkongwe Allan Lawa alizungumzia kuhusu baadhi ya makada na viongozi kutoa kejeli na lugha ya matusi kwa watu wazee kuwa wana njaa na wanatumika, lakini wanaotambulika historia yao na uaminifu wao wa kiutendaji katika utumishi wao na akaonya tabia hiyo.
Hakuwataja, lakini mwenye akili anajua kebehi zifanywazo kwa wazee kama Warioba Butiku au Shivji nk kuwa eti wamehongwa na ni njaa tuu ni hoja za kipumbavu.
Sasa kasimama Possi kujibu, yeye anajibu vingine kabisa eti hao wasemwao vibaya ni Rais na viongozi wengine. Anashindwa kuelewa jambo dogo vile ataelewa yaliyofichwa kwenye mkataba?
 
Mtu yupo Chato katuletea salamu zake unagtaka tusizipokee? Au umedandia treni kwa mbele?

Kuna dictator asiyekumbukwa duniani? Hitler, Mussolini, Nyerere hujawahi kuwasikia wakikumbukwa?

Huwa ssikisii, jisomee:

Siku mbili tatu zijazo tutajuwa mshindi, mchakato unaendelea.
Watakaoshinda au Kushindwa ni Wajukuu zetu Sisi Mababu tunayachungulia mavumbi Sema tamaa tu za Uzeeni 😃😃
 
Uongozi unaojikita kwenye uchawa umenifanya nicheke leo!
Mwandishi mkongwe Allan Lawa alizungumzia kuhusu baadhi ya makada na viongozi kutoa kejeli na lugha ya matusi kwa watu wazee kuwa wana njaa na wanatumika, lakini wanaotambulika historia yao na uaminifu wao wa kiutendaji katika utumishi wao na akaonya tabia hiyo.
Hakuwataja, lakini mwenye akili anajua kebehi zifanywazo kwa wazee kama Warioba Butiku au Shivji nk kuwa eti wamehongwa na ni njaa tuu ni hoja za kipumbavu.
Sasa kasimama Possi kujibu, yeye anajibu vingine kabisa eti hao wasemwao vibaya ni Rais na viongozi wengine. Anashindwa kuelewa jambo dogo vile ataelewa yaliyofichwa kwenye mkataba?
Possi au Manara?
 
Watakaoshinda au Kushindwa ni Wajukuu zetu Sisi Mababu tunayachungulia mavumbi Sema tamaa tu za Uzeeni 😃😃

Kondoo unaefata wachungaji waliopotea.

Nipe miezi sita tu toka DP World waanze kama hujasema kwanini tulichelewa, walikuwa wapi hawa Waarabu siku zote.

Hao watu unaowasikia wa DP World ni wafanyabiashara genuine, siyo watu wa longolongo.
 
Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
Unapata tabu sana na bandari as if inakuhusu!
 
Mawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!
Na wajinga almost wote wanakimbilia CCM ndio maana nchi inaongozwa kijing. sana
 
Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender.
Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...View attachment 2687713View attachment 2687714
PITA HAPA UONE!
Angalieni huu ukurasa wa sahihi kwa karibu sana!
Mnaona hapo kwa upande wa shahidi kuna sahihi ya Mbarawa ilianza alafu haikuisha - akaweka mtu mwingine! Aisee Alafu mashahidi wote wawili hawana majina na huyo wa Dubai hata cheo hatujui ni nani!
20230714_144512.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
 
Mawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!
Lini ulikataza kuanzisha mashule yako Tanzania.

Kuna masshule hapa Tanzania yanfata mitaala ya cambridge tuliyoisoma sisi wakati wa ukoloni.
 
Back
Top Bottom