Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

Hajambo Kabisa, uhali Gani wewe?
Msalimie.

Mimi mzima kabisa, namuona aliyekuwa Makamo wake wa Rais anaendeleza alipopaacha, mwambie lakini mama ni mpole sana, tunatamani awe na ukali japo nusu ya tu magufuli.
 
Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
 
Alitaka ku-preempty Press ya Mzee Freeman Mbowe
 
Kiukweli hili eneo bado halina maelezo ya kutosha,tungependa kupata maelezo ya kina na kuona huo mchujo,ili tujiridhishe kwamba fedha haijatembea.
 
 
 
Kiukweli hili eneo bado halina maelezo ya kutosha,tungependa kupata maelezo ya kina kuona huo mchujo,ili tuondoe mawazo kwamba labda fedha imetembea.
Google tu "Dar Port tender" utapata majibu, huna haja ya mtu kukuaminisha kitu, ni tender ya Kimataifa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…