Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Nilichouliza ni kingine we unanitumia links ya jambo tofauti, makampuni yaliyo wanna tenda ni yapi..?Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...www.jamiiforums.com
Mawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!Uzuri ni kuwa sheria zaa Kimataifa hazitungwi bungeni kwetu, bungeni zinakuwa "endorsed" tu.
Sheria za Kimataifa hata muwe wajinga vipi mnalindwa na Umoja wa Mataifa. Siyo na mawakili uchwara wa Tanzania.
Mtanikumbuka😂😂😂!Msalimie.
Mimi mzima kabisa, namuona aliyekuwa Makamo wake wa Rais anaendeleza alipopaacha, mwambie lakini mama ni mpole sana, tunatamani awe na ukali japo nusu ya tu magufuli.
World bank siku hizi haikupi pesa za kazi wewe mkopaji. Inalipa mtendaji kazi moja kwa moja,Kwa nini huu mkataba hautaji muda wa kusitishwa kwake..?
Na kwa nini pesa ilikopwa WB kwa ajili ya kuongeza ufanihisi halafu muda mfupi tu inasainiwa mkataba wa Dubai port..? Mbona kama hapa pia kuna mazingira ya ufisadi...?
Dar Port ina tender nyingi sio za ku-lease Bandari tu,ila asante.Hata hivyo kujikanyaga kwao kwenye maelezo kunaonyesha kwamba kuna shida,hawanyooshi maelezo!Google tu "Dar Port tender" utapata majibu, huna haja ya mtu kukuaminisha kitu, ni tender ya Kimataifa hiyo.
Unapingana na Mbarawa??World bank siku hizi haikupi pesa za kazi wewe mkopaji. Inalipa mtendaji kazi moja kwa moja,
Hakuna mkataba wa Dubai port, usidanganywe. Kuna mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya Tanzania na Falme ya Dubai.
Kuhusu mkataba wa kuendesha bandari, bado hajatangazwa mshindi, jisomeee, kimataifa hukoi wanaelewa kuliko sisi wa nyumbani:
TANZANIA : AD Ports, Adani and DP World vie for Dar port contract - 19/05/2023 - Africa Intelligence
By July, the Tanzanian authorities are due to announce which companies have won the double tender call to run the country's biggest port. Several major players are in the running. - 5/19/2023www.africaintelligence.com
Mtu yupo Chato katuletea salamu zake unagtaka tusizipokee? Au umedandia treni kwa mbele?Mtanikumbuka😂😂😂!
Huwa ssikisii, jisomee:Unapingana na Mbarawa??
Watakaoshinda au Kushindwa ni Wajukuu zetu Sisi Mababu tunayachungulia mavumbi Sema tamaa tu za Uzeeni 😃😃Mtu yupo Chato katuletea salamu zake unagtaka tusizipokee? Au umedandia treni kwa mbele?
Kuna dictator asiyekumbukwa duniani? Hitler, Mussolini, Nyerere hujawahi kuwasikia wakikumbukwa?
Huwa ssikisii, jisomee:
TANZANIA : AD Ports, Adani and DP World vie for Dar port contract - 19/05/2023 - Africa Intelligence
By July, the Tanzanian authorities are due to announce which companies have won the double tender call to run the country's biggest port. Several major players are in the running. - 5/19/2023www.africaintelligence.com
Siku mbili tatu zijazo tutajuwa mshindi, mchakato unaendelea.
Possi au Manara?Uongozi unaojikita kwenye uchawa umenifanya nicheke leo!
Mwandishi mkongwe Allan Lawa alizungumzia kuhusu baadhi ya makada na viongozi kutoa kejeli na lugha ya matusi kwa watu wazee kuwa wana njaa na wanatumika, lakini wanaotambulika historia yao na uaminifu wao wa kiutendaji katika utumishi wao na akaonya tabia hiyo.
Hakuwataja, lakini mwenye akili anajua kebehi zifanywazo kwa wazee kama Warioba Butiku au Shivji nk kuwa eti wamehongwa na ni njaa tuu ni hoja za kipumbavu.
Sasa kasimama Possi kujibu, yeye anajibu vingine kabisa eti hao wasemwao vibaya ni Rais na viongozi wengine. Anashindwa kuelewa jambo dogo vile ataelewa yaliyofichwa kwenye mkataba?
Watakaoshinda au Kushindwa ni Wajukuu zetu Sisi Mababu tunayachungulia mavumbi Sema tamaa tu za Uzeeni 😃😃
Unawaota ma star wawili?Possi au Manara?
Unapata tabu sana na bandari as if inakuhusu!Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
Na wajinga almost wote wanakimbilia CCM ndio maana nchi inaongozwa kijing. sanaMawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!
PITA HAPA UONE!Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender.
Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...View attachment 2687713View attachment 2687714
Huyu mzee sasa ni bora anyamaze tu, hakuna cha maana anachozungumza hivyo sioni sababu ya kutumia akili kutafakari kile anachokizungumza, wanajua wameharibu yeye na dada yake, ndio maana wakati dada ameamua kukaa kimya, huyu kaka ndie kiherehere kuokoteza maneno yasiyo na maana yoyote ilimradi azungumze.
Lini ulikataza kuanzisha mashule yako Tanzania.Mawakili uchwara Wa Tanzania! Ndio maana nasema mfumo wa Elimu chini ya CCM ni WA kipumbavu sana, ndio unatuzalishia hawa mawakili uchwara!
Nakumbuka Haji alipoletwa pale kwa babu yake mtaa wa Twiga miaka ile ya 70s walikuwa wawili wa namna Moja na Watu wakadhani wale kids wametoka Australia na Sunday kumbe waliletwa kutokea Magomeni KigogoUnawaota ma star wawili?