Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #41
Hii hapa ndio kali, Section APITA HAPA UONE!
Angalieni huu ukurasa wa sahihi kwa karibu sana!
Mnaona hapo kwa upande wa shahidi kuna sahihi ya Mbarawa ilianza alafu haikuisha - akaweka mtu mwingine! Aisee Alafu mashahidi wote wawili hawana majina na huyo wa Dubai hata cheo hatujui ni nani!View attachment 2687792
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio ulisema mawakili uchwaraLini ulikataza kuanzisha mashule yako Tanzania.
Kuna masshule hapa Tanzania yanfata mitaala ya cambridge tuliyoisoma sisi wakati wa ukoloni.
Khaa mawakili uchwara wa Tanzania!!!Uzuri ni kuwa sheria zaa Kimataifa hazitungwi bungeni kwetu, bungeni zinakuwa "endorsed" tu.
Sheria za Kimataifa hata muwe wajinga vipi mnalindwa na Umoja wa Mataifa. Siyo na mawakili uchwara wa Tanzania.
Exctly, wakili anaingia kwenye mtandao kusambaza uongo wa kuwatisha Watanzania huyo kama si wakili uchwara ni nini?Khaa mawakili uchwara wa Tanzania!!!
Na nnaendelea kusema mawakili uchara na waongo kama mafundi wa Tabata, wanawatia hofu Watanzania kwa kununuliwa kwa thamani ndogo tu.Wewe ndio ulisema mawakili uchwara
So Faizal you seriously believe nchi za nje hawapindishi sheria! si kweli,hili ni tatizo everywhere.Kumbuka the called insurrection ya Congress ya Marekani na witch hunt iliyofanyika kwa Trump wakati hata mtoto mdogo akiona wazi kwamba issue yote ile ilipangwa na Democrats.Kumbuka pia issue ya Trump kudaiwa kakutwa na confidential documents za White House,kumbe ni mbinu za DemocratsUzuri ni kuwa sheria zaa Kimataifa hazitungwi bungeni kwetu, bungeni zinakuwa "endorsed" tu.
Sheria za Kimataifa hata muwe wajinga vipi mnalindwa na Umoja wa Mataifa. Siyo na mawakili uchwara wa Tanzania.
Sikiliza kijana, hakuna sheria ya Kibinadam isiyoweza kupindishwa.So Faizal you seriously believe nchi za nje hawapindishi sheria! si kweli,hili ni tatizo everywhere.Kumbuka the called insurrection ya Congress ya Marekani na witch hunt iliyofanyika kwa Trump wakati hata mtoto mdogo akiona wazi kwamba issue yote ile ilipangwa na Democrats.Kumbuka pia issue ya Trump kudaiwa kakutwa na confidential documents za White House,kumbe ni mbinu za Democrats
ili Trump akwamishwe asiwezee kugombea 2024.Sijui kwa nini tumeamishwa kwamba the West ni Malaika,na kila kitu chao ni super,they are not,they are just as dumb-ass.
AiseePITA HAPA UONE!
Angalieni huu ukurasa wa sahihi kwa karibu sana!
Mnaona hapo kwa upande wa shahidi kuna sahihi ya Mbarawa ilianza alafu haikuisha - akaweka mtu mwingine! Aisee Alafu mashahidi wote wawili hawana majina na huyo wa Dubai hata cheo hatujui ni nani!View attachment 2687792
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nnaendelea kusema mawakili uchara na waongo kama mafundi wa Tabata, wanawatia hofu Watanzania kwa kununuliwa kwa thamani ndogo tu.
Faizal naomba nikurekebishe, mimi sio mzee,ni mtu wa umri wa kati.Pili,nilitaka tu kukupa angalizo kwàmba msidhani everything in the West is rosy, kwa hovyo kweli kweli.Sikiliza kijana, hakuna sheria ya Kibinadam isiyoweza kupindishwa.
Watu wanapindisha sheria za biblia itakuwa sheria hizi za kibinadam?
Tilochokuwa nacho ni IGA, IGA ni makubaliano ya Kimataifa yanayolindwa kimataifa, wacha kuipindisha, hata uiweke juu chini, haikuondoi kwenye haki.
Wakili asiyoyajuwa hayo ni mjinga tu.
kwanza kazi ya uwakili siyo ya kuingia mitandaoni na kuanza kusema uongo. Kazi yake ni simple tu, kuisaidia mahakama kufikia uamuzi wa haki. Si aende mahakamani?
Na kile wakili anaeenda mahakamani kwa iGA hii ataishia kusomeshwa tu na hakimu. Na akizidi ataambiwa alipe gharama za aliowaita mahakamani kuwashitaki.
Si ndiyo maana unawaona wanapiga makelele nje huku. Si waende mahakamani?
Mafundi wa Tabata ni product pia ya mfumo mbaya wa serikali ya CCM kama ilivyo Kwa mawakili uchwara. Don't forget thatNa nnaendelea kusema mawakili uchara na waongo kama mafundi wa Tabata, wanawatia hofu Watanzania kwa kununuliwa kwa thamani ndogo tu.
Hahahaha akaambiwa Basi INATOSHAAisee
Mbarawa alishaanza kusaini tena kwa niaba ya Dubai akaambiwa basi inatosha acha wasaini wao hapa...
Nchi ngumu sana hii miaka nenda miaka rudi
Hivi unajiona siyo mjinga? Haya,kama siyo mjinga wewe ni mjanja.Hivi considering the visit...ndio competitive tendering? Wanatuona wote wajinga
UTANGULIZIHii hapa ndio kali, Section AView attachment 2687878