Jamaa zetu hata hawajui, high speed train ina reli yake mahususi,,, ukiweka kwenye reli hii ya SGR haiweziNi SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr max
Kaka hao TRC sio wa kiwaamini kwenye implementation utakuta Dar -Moro inakwenda 3 hrsKama speed yake ni 160km/h maana yake Dar-Moro 183km itakua ni 1hr 30mns hadi 2hrs
Silii ng’o.Ulie
Kadogosa chief architect & prominent member wa Sukuma Gang akili yake iliharibiwa sana na MagufuliNi kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
Watu dah😂😂Hatimae Treni ya Masafa marefu yaanza kuwasiliView attachment 2428037View attachment 2428038View attachment 2428039View attachment 2428040
Mliwekewa picha za EMU, mshaambiwa EMU mkataba wao na hyundai rotem vitaletwa kuanzia mwakani mpka 2024, mbona mnakuwa sio waelewa watanzania?Ni kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
Angekuwepo ndio tungemuhukumu ,ila waliopo Sasa kuwaamini ni ngumu sanajohnthebaptist hii nchi ni shida. Viongozi hutuona watanzania hatuna akili. Kulikuwa na sababu gani kutudanganya hapo mwanzo na picha za vichwa mchongoko?? Ila tukumbuke kilikuwa kipindi cha bwana yule, ambaye kudanganya ilikuwa ni sifa nzuri.
Umejuaje kuwa "reli iko vizuri tu" mkuu 'Kakijana'? Umefanya majaribio yoyote juu ya reli hiyo kabla ya kufikia hitimisho hili?Hapanaa hapanaaa, Mambo yamebadilishwa hapa mwishoni..huoni reli iko vizuri tuu?
Kwa hiyo ujuha wetu haukuanzia hapa kwenye mabehewa!Mnakumbuka picha za Ubungo interchange kabla ujenzi kuanza na tulicholetewa?
Hii habari ipo wapi mkuu 'Mr DIY', nami nikajiridhishe kwa kuisoma. Hebu nielekeze tafadhali.Mliwekewa picha za EMU, mshaambiwa EMU mkataba wao na hyundai rotem vitaletwa kuanzia mwakani mpka 2024, mbona mnakuwa sio waelewa watanzania?
Emu zinakuja kwa set (jozi) yaan kichwa ila kichwa chake huwa na madirisha ya abilia, kichwa chake huwa mbele na nyuma, kuweni wapole
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukisikia kupigwa na kitu kizito kisogoni, ndiyo huku sasa!!
Interpretations ni shida,sawa na kusikia 40°firehyte ukasema 40°C ,Hii sasa kitaalamu tunaita Chenga ya mwili
Hahaha..Hii sasa kitaalamu tunaita Chenga ya mwili
Acha tuendelee kulishwa ugali na picha ya samakiView attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?