Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washatuchosha aiseh, Mtu unachoka hadi ukiona kweny TV watu wamekaa kijani unatoka ndani nduki kuogopa usije pata mshtuko wa moyo.Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Narudia,Kwema hizo train ni ghali sana kuliko ghrama ya uwekezaji kwenye hiyo rail. Unakuta watanzania wanasema kitu flani ni ghali kuliko kila lakini ukichugulia unakuta ufisadi wa bilioni 50 zaidi. Marekani sio kwamba nimeshindwa ni priority tu .kama tumenunua drimliner. Bullet ya train zinatushindaje jamani
Tunarudi kwenye failed stateHii ya mabehewa ni aibu yetu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]