Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Akili matope
 
Just a worse of the worse.

"Black people are not the complete human beings because THEY DONT HAVE A GOOD BRAIN TO GOVERN THE SOCIETY as white people are.They are still under the process of becoming the complete human beings".
By Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

[Emphasis is added]
 
Hata sisi wenyewe tunaweza kufanya watayoyafanya wawekezaji.

Tuna watu na fedha.

Kama mtu anaiba na una ushahidi si unafukuza tu unaweka mwingine??

Yaani mtu una jeshi, Takukuru, polisi na Tiss unashindwa kucontrol wafanyakazi wa bandari mpaka umpe mgeni bandari bila ukomo??

Hapa kuna harufu ya rushwa hakuna jingine.

Madili ya watu tu kujipigia pesa kupitia rasilimali za nchi.
 
Mara mgao wa umeme utakuwa historia, madini yatabeba bajeti yote, mara mkataba wa gesi itawaokoa mama zetu na madhara ya moshi, mara Royal tour itakuza utalii hivyo utalii inaendesha nchi, mara bandari itaendesha 67% ya bajeti ya nchi, mara mwendokasi itaondoa tatizo la foleni Dar, mara fly over.

Tuna hasara sana kupata viongozi wasiyotumia tafiti kujua namna ya kutatua changamoto zinazowakabili jamii zetu.
Kwahiyo Waziri hajui kuwa tulishawapata wawekezaji wengi sana mahiri kwenye nyanja mbalimbali lakini tunaangushwa na uwajibikaji wa viongozi wa serikali akiwemo na yeye.

Yaani mwekezaji awe serious kuliko anaetaka kuwekezwa kwake.
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Lakini sio kwa mkataba wa kibwege aliosign yeye
 
Hakuna anayepinga hilo. Ndio msaini mkataba kama ule? Hovyo kabisa.

2015 Kikwete alisema hivyo hivyo kuhusu gesi, wakaenda mbiombio na mikataba ya kipuuzi kwa hati za dharura bungeni. Leo kiko wapi??

Ujinga ujinga ujinga tu.
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Si akauze vitu vya zanzibar, why analazimisha vitu vya bara
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Hawa magenius wetu hawa wanaviroja sana? Kumbe kusoma pia hakuna maana tumejikwamua. Maana hatuna uwezo wa kutafuta solutions za changamoto zetu.

Tunawategemea kina brother huko nje kwa kila kitu watusaidie. Sisi tupaki kulinda vyeti vyetu. Maana siamini kabisa kwamba hatuna uwezo wa kuendesha bandari.

Uwezo tunao kama tukiamua kuikabili rushwa na kutumia mali ya umma kama inavyotakiwa
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Hili bumunda lilipaswa kuwa limepigwa risasi au kunyongwa kwa Usaliti ajabu linapanua domo lake.
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Tatizo siyo mwekezaji tatizo ni usimamizi mbovu wa mifumo yetu
 
Hilo faida aliyoisema ipo kwenye kifungu namba ngapi ya mkataba ili tujue?.

Mbarawa hajui kuwa 67% ya bajeti ya leo huenda ikawa ni 15% ya bajeti baada ya miaka 25 ijayo?

Aende abadilishe mkataba ili tugawane faida na siyo vitu vidogovidogo kama kodi n.k
 
Back
Top Bottom