Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Bumunda jingine hili au Nyerere alipenda kuwaita watu kama ninyi mazuzu.Kkenge ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bumunda jingine hili au Nyerere alipenda kuwaita watu kama ninyi mazuzu.Kkenge ww
Siungi mkono ubinafsishaji wa bandari usio na manufaa hata hivyo ufanisi Serikalini katika biashara hauwezi kutatuliwa na Jeshi.Hata sisi wenyewe tunaweza kufanya watayoyafanya wawekezaji.
Tuna watu na fedha.
Kama mtu anaiba na una ushahidi si unafukuza tu unaweka mwingine??
Yaani mtu una jeshi, Takukuru, polisi na Tiss unashindwa kucontrol wafanyakazi wa bandari mpaka umpe mgeni bandari bila ukomo??
Hapa kuna harufu ya rushwa hakuna jingine.
Madili ya watu tu kujipigia pesa kupitia rasilimali za nchi.
Ni madude ya hovyo yasiyo aminika.Mara mgao wa umeme utakuwa historia, madini yatabeba bajeti yote, mara mkataba wa gesi itawaokoa mama zetu na madhara ya moshi, mara Royal tour itakuza utalii hivyo utalii inaendesha nchi, mara bandari itaendesha 67% ya bajeti ya nchi, mara mwendokasi itaondoa tatizo la foleni Dar, mara fly over.
Tuna hasara sana kupata viongozi wasiyotumia tafiti kujua namna ya kutatua changamoto zinazowakabili jamii zetu.
Kwahiyo Waziri hajui kuwa tulishawapata wawekezaji wengi sana mahiri kwenye nyanja mbalimbali lakini tunaangushwa na uwajibikaji wa viongozi wa serikali akiwemo na yeye.
Yaani mwekezaji awe serious kuliko anaetaka kuwekezwa kwake.
Vitu vya bara ndio anamalaka navyo vya zanzibar hana mamlaka navyoSi akauze vitu vya zanzibar, why analazimisha vitu vya bara
Hizo ahadi za Kipumbavu kuwa asilimia 67% ya bajeti bandari ndio itaendeshwa tunaomba iwe ya kimaandishi na iwe sheria na isipokuwa hivyo awajibishwe na kufilisiwa na kunyongwa huyu Mbawala na regime yake... Kuwafanya Watanganyika wapumbavu ni uhaini... WANASHERIA WETU WAZALENDO TUNAOMBA MSAADA WA KUANDIKA MKATABA KATI YETU NA MBAWALA - Tuanzishe hizi sheria iwe mwisho wa kufanyana wapumbavu...Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.
Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.
TATIZO SIO MAKUSANYO TATIZO NI VIONGOZI MAFISADI NA MATUMIZI YA HOVYO YA SERIKALIWaziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.
Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.
Miaka zaidi ya 60 hatukufanya na bado mnaamini tutawezaHata sisi wenyewe tunaweza kufanya watayoyafanya wawekezaji.
Tuna watu na fedha.
Kama mtu anaiba na una ushahidi si unafukuza tu unaweka mwingine??
Yaani mtu una jeshi, Takukuru, polisi na Tiss unashindwa kucontrol wafanyakazi wa bandari mpaka umpe mgeni bandari bila ukomo??
Hapa kuna harufu ya rushwa hakuna jingine.
Madili ya watu tu kujipigia pesa kupitia rasilimali za nchi.
PITA HAPA UONE!Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.