Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

Anatakiwa aseme kuanzia mwaka gani hiyo 67% itaanza kuonekana. Isije ikawa ni ahadi hewa kama uchumi wa gas ya Mtwara.
 
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.

Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi mikubwa na haiwezekani kuendelea kila siku kutembeza bakuli na kuomba ilhali ipo rasimali ambayo ikitumika na kusimamiwa vizuri itabadilisha uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa.

Ewaaa DP WORLD wahiniiiii!
 
Back
Top Bottom