Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Bongo hii huwa naona tuko nyuma sana katika mambo mengi mno, imagine hata hili nalo mpaka leo lipo hivi ndio chanzo cha kuleta PHD zisizo na uhakika kabisa
 
Mwenyekiti wa University Council ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Tawala CCM, Umoja wa Wanawake UWT.
Na ana Diploma ya Ualimu Praimari na Sekondari.
What do you expect?
 
Daah, vyuoni hakuna nono kama Bungeni......
 
Mwenyekiti wa University Council ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Tawala CCM, Umoja wa Wanawake UWT.
Na ana Diploma ya Ualimu Praimari na Sekondari.
What do you expect?
Hivi kuna sheria inayotoa vigezo vya Mwenyekiti wa Council anatakiwa aweje ???
 
Usijitie usahaulifu kushangaa huyo unayemwita mwalimu wa secondary kuwa chairwoman wa University Council na hukumshangaa huyohuyo mwalimu alipokuwa Waziri wa Elimu,Sayansi na Technology
Tumia akili kidogo.
Uwaziri ni post ya kisiasa, any Tom, Dick and Harryanaweza kaa pale na anasimamia sera za kisiasa.
Vyuoni hakuna siasa kule, ni kucheck intergrity na quality education.
Ona sasa mwanasiasa haoni uozo wa kugawa PhD kama njugu kwa thesises ambazo hata hata kijana wa first degree0hawezi andika vile.
 
Mkuu utasifiaje UDOM wakati upo ushahidi wa wazi wa Jafo na Biteko kutunukiwa PhD ambazo umma wa kisomi una wasiwasi nazo.
 
1. Abstract of the PhD thesis/dissertation

2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation

Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.

Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:

3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)

4. External Examiner(s)
 
MKuu Mshana Jr

Kila Vyuo vina taratibu za kutoa tuzo za kitaaluma na lazima zifuatwe kwa usahihi kabisa.

Ili upate PhD, mosi lazima uwe na sifa za kitaaluma kuruhusiwa kusoma.

Kwa TZ lazima uwe na masters na uwe umefaulu kwa GPA isiyopungua 3. Ukishaingia, inabidi uandike research proposal ambayo itachambuliwa na kunyambuliwa na wataalam na kamati kadhaa kabla haijakubaliwa na kuruhusiwa kuendelea.

Baada ya hapo unaenda field kukusanya data. Kinachofuata unaanza kuchambua na kunyumbulisha data zako na kuanza kuandika tasnia.


Huo ni mchakato usiopungua mwaka mmoja hadi miwili kama hakuna tatizo lolote. Ukishakamilisha kuandika tasnia yako itasomwa na kusomwa na kupewa kila aina ya maoni malaini na makali.

Ikipita hapo tasnia inaenda kutahiniwa na watu wawili, moja ndani ya Chuo na mwingine nje ya chuo chako na mara nyingi kutoka nje ya nchi. Hao wakikubali unaenda kwenye mtihani wa mwisho unaoitwa viva voce examination.

Sasa tunaopinga hizi PhD za wenzetu tulete ushahidi kama hawa ndugu hawakupitia hiyo michakato.
 
Tafiti sasa na utupe taarifa. Ni jukumu la wenye mashaka kufanya utafiti na kuleta ushahidi. Sasa mnauliza maswali huku mitandaoni mnamuuliza nani? Leteni data
 
Makapuku na wasio na vyeo ndio huteseka huko chuoni, Mimi Kuna wahadhiri walinifundisha undergraduate tena wakiwa PhD na wako full time hapo chuoni ila PhD zimewachukua mda kumaliza, achilia tu masters Sasa Mimi nawashangaa Hawa wanasiasa vilaza kumaliza at right time huku wakiwa wako full time kwenye majukumu yao
 
UDOM wangepewa Waislamu kama ilivyokuwa Chuo cha TANESCO Morogoro. Hiki ni chuo chenye hadhi ya chini sana.
Mshamba mkubwa wewe, Udom ni chuo kikubwa na kina heshims yake. Pia acha dharau kwa waislami, mimi siyo Muslim ila sijaoenda dharau yako.
 
Ha ha ha!
Jafo na Biteko wana PhD(Pubic hair Dressers)
 
Ukiona hadi wanatoa ujue wana ithibati ya TCU.

Udom hawajaanza kutoa PhD za akina Biteko. Juzi walitoa zaidi ya 60 wakiwemo hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…