kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Tanganyika irudishwe tuaze kusoma upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumsahau dr mwamposaNimeangalia hizo list ya wasomi wetu nikaishia kucheka
Bongo hii huwa naona tuko nyuma sana katika mambo mengi mno, imagine hata hili nalo mpaka leo lipo hivi ndio chanzo cha kuleta PHD zisizo na uhakika kabisaKwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!
Wekeni hizo abstracts, conclusions, na supervisors online watu wapitie; hata hizo theses hazitakiwi kuwa siri. Ziwekwe public pengine watafiti wengine wangependa "kuanzia walipoishia" kwenye tafiti mpya.
Mwenyekiti wa University Council ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Tawala CCM, Umoja wa Wanawake UWT.Unamaanisha nini kusema kitafahamika Tandale wakati international ranking katika vyanzo mbalimbali vinavyoaminika ikiwemo Webomatrics wanaki-rank hicho chuo kuwa ni cha 4 kwa ubora Tanzania mwaka wa tano sasa mfululizo?
Mimi naona ni uzwazwa kukilaumu chuo pekee badala ya kukemea huu upuuzi wa wanasiasa kuingilia taaluma. Nakuapia chuo chochote kile unachokiheshimu hapa Tanzania, hawa vilaza wanasiasa hawashindwi kufanya waliyoyafanya UDOM. Fuatilia records UDSM,MZUMBE na Open University uthibitishe nisemalo.
Pia ukitaka kujua kuwa huu upuuzi unaendekezwa kwa wanasiasa tu basi jaribu wewe kapuku mwenzangu kujiunga PhD hapohapo UDOM uone mziki utakaokutana nao.
Daah, vyuoni hakuna nono kama Bungeni......Hawa kina Prof Mwandosya, Prof Muhongo, Dkt Mwakyembe, Dkt Kijaji, Dkt Jasmine Tiisekwa, Dkt Tito Mwinuka (DG wa zamani TANESCO), Dkt Bashiru Ally, Dkt Leonard Chamuriho, Dkt Pudensiana Kikwembe, Prof Adelardus Kilangi, Prof Palamagamba Kabudi na wengine wengi inabidi warudi vyuoni wakafundishe. Huku kwenye practice wawaachie tenure-track practitioners huko wizarani na kwenye taasisi. Kwani kuna shida gani hawa practitioners waiwa promoted wakachukua hizo nafasi za juu ?
Kwani kuna ulazima wa kiasi hicho wa kuwatoa hawa wahadhiri vyuoni ?
Binafsi siamini kama kuna umuhimu wa kiasi hicho (labda kwenye exception kadhaa nitakubali). Ila hawa practitioners waliopo wizarani na
kwenye taasisi kadhaa za serikali wanatosha kushika hizo nafasi.
Nafikiri sauti inatosha.
Ujumbe uwafikie
Hivi kuna sheria inayotoa vigezo vya Mwenyekiti wa Council anatakiwa aweje ???Mwenyekiti wa University Council ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Tawala CCM, Umoja wa Wanawake UWT.
Na ana Diploma ya Ualimu Praimari na Sekondari.
What do you expect?
Inajenga confidence kwa Chuo kuwa na Mwenyekiti aliye excel kwenye academics.Hivi kuna sheria inayotoa vigezo vya Mwenyekiti wa Council anatakiwa aweje ???
Sawa mkuu.....Inajenga confidence kwa Chuo kuwa na Mwenyekiti aliye excel kwenye academics.
Tumia akili kidogo.Usijitie usahaulifu kushangaa huyo unayemwita mwalimu wa secondary kuwa chairwoman wa University Council na hukumshangaa huyohuyo mwalimu alipokuwa Waziri wa Elimu,Sayansi na Technology
Mkuu utasifiaje UDOM wakati upo ushahidi wa wazi wa Jafo na Biteko kutunukiwa PhD ambazo umma wa kisomi una wasiwasi nazo.Unamaanisha nini kusema kitafahamika Tandale wakati international ranking katika vyanzo mbalimbali vinavyoaminika ikiwemo Webomatrics wanaki-rank hicho chuo kuwa ni cha 4 kwa ubora Tanzania mwaka wa tano sasa mfululizo?
Mimi naona ni uzwazwa kukilaumu chuo pekee badala ya kukemea huu upuuzi wa wanasiasa kuingilia taaluma. Nakuapia chuo chochote kile unachokiheshimu hapa Tanzania, hawa vilaza wanasiasa hawashindwi kufanya waliyoyafanya UDOM. Fuatilia records UDSM,MZUMBE na Open University uthibitishe nisemalo.
Pia ukitaka kujua kuwa huu upuuzi unaendekezwa kwa wanasiasa tu basi jaribu wewe kapuku mwenzangu kujiunga PhD hapohapo UDOM uone mziki utakaokutana nao.
MKuu Mshana Jr1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
Tafiti sasa na utupe taarifa. Ni jukumu la wenye mashaka kufanya utafiti na kuleta ushahidi. Sasa mnauliza maswali huku mitandaoni mnamuuliza nani? Leteni data1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
wanamuunga mkono mwenda zake, au labda kunatetesi mgombea ajaye ndani ya ccm lazima kigezo namba 1 uwe na PHD ina bidi na chief hangaya apambane naye amiliki PHDHizi PhD kwa nini zinasakwa kwa mwendokasi hivi na wanasiasa?
Makapuku na wasio na vyeo ndio huteseka huko chuoni, Mimi Kuna wahadhiri walinifundisha undergraduate tena wakiwa PhD na wako full time hapo chuoni ila PhD zimewachukua mda kumaliza, achilia tu masters Sasa Mimi nawashangaa Hawa wanasiasa vilaza kumaliza at right time huku wakiwa wako full time kwenye majukumu yaoUnamaanisha nini kusema kitafahamika Tandale wakati international ranking katika vyanzo mbalimbali vinavyoaminika ikiwemo Webomatrics wanaki-rank hicho chuo kuwa ni cha 4 kwa ubora Tanzania mwaka wa tano sasa mfululizo?
Mimi naona ni uzwazwa kukilaumu chuo pekee badala ya kukemea huu upuuzi wa wanasiasa kuingilia taaluma. Nakuapia chuo chochote kile unachokiheshimu hapa Tanzania, hawa vilaza wanasiasa hawashindwi kufanya waliyoyafanya UDOM. Fuatilia records UDSM,MZUMBE na Open University uthibitishe nisemalo.
Pia ukitaka kujua kuwa huu upuuzi unaendekezwa kwa wanasiasa tu basi jaribu wewe kapuku mwenzangu kujiunga PhD hapohapo UDOM uone mziki utakaokutana nao.
Duh mambo ya kubebana kisiasaMwenyekiti wa University Council ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Tawala CCM, Umoja wa Wanawake UWT.
Na ana Diploma ya Ualimu Praimari na Sekondari.
What do you expect?
Mshamba mkubwa wewe, Udom ni chuo kikubwa na kina heshims yake. Pia acha dharau kwa waislami, mimi siyo Muslim ila sijaoenda dharau yako.UDOM wangepewa Waislamu kama ilivyokuwa Chuo cha TANESCO Morogoro. Hiki ni chuo chenye hadhi ya chini sana.
Ha ha ha!Makapuku na wasio na vyeo ndio huteseka huko chuoni, Mimi Kuna wahadhiri walinifundisha undergraduate tena wakiwa PhD na wako full time hapo chuoni ila PhD zimewachukua mda kumaliza, achilia tu masters Sasa Mimi nawashangaa Hawa wanasiasa vilaza kumaliza at right time huku wakiwa wako full time kwenye majukumu yao
Yaani tunapta wasomi wa hisani ya chama.Mwenyekiti wa wanawake CCM! Utaona ni jinsi gani siasa ina haribu elimu yetu.