Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
CCM haina mawazo mapana. Wao wanawaza kula tu, na sio kuzalishaMbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
Kwenye nchi hii inashangaza kwamba mazafaka mtaalamu wa geology ndiye anajua economics vizuri kuliko mazafakas wanaojiita economists!Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
Ana uchumi gani huyo umewahi kufika alikozaliwa?Mchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!
BrilliantMbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
Mtu wa tamthiliya hajawahi kuwa na mawazo juu ya keshoSasa Samia kaelewa chochote kweli hapo?
Kitila yeye kazi kuboa kanisa la jirani yake kila kukicha hapa kwake goba-maghorofani.Mchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!
Anakozaliwa mtu ndipo panapatikana elimu ya uchumi au...Ana uchumi gani huyo umewahi kufika alikozaliwa?
Sahihi,Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Exactly, unajua alishagombea ubunge huko alikozaliwa na kuahidi maisha bora kutokana na fursa za uchumi zilizopo kwao.Anakozaliwa mtu ndipo panapatikana elimu ya uchumi au...
Bado hai justify elimu kubeza elimu yake, mamb ya maendeleo nchi yetu tunayajuaExactly, unajua alishagombea ubunge huko alikozaliwa na kuahidi maisha bora kutokana na fursa za uchumi zilizopo kwao.
Haya akakosa sasa ni waziri nenda ukapaone palivyo hata choo cha shimo kina ahueni