Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM.
Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha uenyekiti aje upande wetu wa watoa maoni na si vinginevyo.
CCM ilimuweka Mukandala kwa lengo maalum la kuikwamisha katiba mpya ili hii mbovu iendelee kuwepo baada ya wao kuifanyia marekebisho wanayoyapenda, ni jukumu letu kusimama kidete na kumkataa huyu Mukandala.