hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
L
Mtu anapokuambia yeye hahitaji katiba, wewe unamuelewaje?
Unamwelewa Tu kama unavyoeleweka ww unaeitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
L
Mtu anapokuambia yeye hahitaji katiba, wewe unamuelewaje?
Katiba ni takwa la nchi.Unamwelewa Tu kama unavyoeleweka ww unaeitaji
Katiba ni takwa la nchi.
Maswali yako yamenifanya jasho linitoke, katiba inajumuisha mambo mengi sana kulingana na takwa la kila mtu kulingana na shughuri zake ila wote tunakuja kukutana ni kwenye haki ya kuishi, sasa kama wewe hata haki ya kuishi iliyomo kwenye katiba hauoni faida yake! Ndipo jasho linaponitoka.Takwa la watu wa chache
Me wala sitaji katiba mpya coz katiba hii ya sasa ambayo ww unaona ni mbovu haijanizuia kufanya anything
Au ww unataka katiba mpya Kwa ajili ya nn?
Utanufaika nayo nn ww na familia yako?
Katiba ya sasa inasema ww hauna haki ya kuishi?Maswali yako yamenifanya jasho linitoke, katiba inajumuisha mambo mengi sana kulingana na takwa la kila mtu kulingana na shughuri zake ila wote tunakuja kukutana ni kwenye haki ya kuishi, sasa kama wewe hata haki ya kuishi iliyomo kwenye katiba hauoni faida yake! Ndipo jasho linaponitoka.
Unapenda kutawaliwa kirahisi rahisi, nimekuambia kila mtu ana hitaji lake kwenye katiba iliyo bora na analipata bila vikwazo.Katiba ya sasa inasema ww hauna haki ya kuishi?
Au Kwa akili yako kukiwa na katiba mpya hakuna watu watauliwa au kupotea?
Una umri gani kwanza? Nisije kuwa naongea na under 35yrs old
Unapenda kutawaliwa kirahisi rahisi, nimekuambia kila mtu ana hitaji lake kwenye katiba iliyo bora na analipata bila vikwazo.
USA, UK, FRANCE, GERMANY nk ni mara ngapi wamebadirisha katiba zao tangu kuanzishwa kwake?
Hata hizo zilikuwa za hovyohovyo kabla ya kuwa makini, Tanzania kwasasa ni ya hovyohovyo na watu wake ukiwemo wewe na mimi labda kama wewe sio MTZ.
TUUACHE KWANZA UHOVYOHOVYO NDIO TUANZE KUTENGENEZA KATIBA NYINGINE.
Sasa kama huko kote unakubali wamebadilisha, unaona shida gani watu wakitaka mabadiliko ya katiba huku, au hujui unaongea nini?
Nzuri sana, lete habari.Kaka Habari za siku
Asante.Kukiwa na katiba mpya utakuwa unajitawala mwenyewe?
Nzuri sana, lete habari.
Lisu tuendelee kumsubiri au
Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM.
Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha uenyekiti aje upande wetu wa watoa maoni na si vinginevyo.
CCM ilimuweka Mukandala kwa lengo maalum la kuikwamisha katiba mpya ili hii mbovu iendelee kuwepo baada ya wao kuifanyia marekebisho wanayoyapenda, ni jukumu letu kusimama kidete na kumkataa huyu Mukandala.