Kuna kitu kinaitwa "Civilization" sijui tuiteje kwa lugha yetu. Watu kuwa civilized inawezekana bila hizo piece of paper, ukileta pieces of paper na watu wenyewe hawajawa civilized watazichana tu na kuchambia.
Umeongelea maendeleo kuwa suala mtambuka linalohitaji factors nyingi, zipo main factors ambazo zikifuatwa kwa katiba hihii Taifa hili lazima lisonge mbele.
USA anamshutumu China kwa sheria za hovyo na Katiba mbovu lakini decipline ya chinese na ndoto zao za kutengeneza Taifa bora zimewafanya kupitia sheria na katiba hiyo hiyo kupiga hatua kimaendeleo.
Brother naomba kukwambia, TATIZO LA WAAFRICA NI UJINGA, UVIVU NA UPUMBAVU MWINGI AMBAO HAUWEZI KUACHWA KUPITIA HAYA MAKARATASI, EITHER WASTAARABIKE AU WATAWALIWE NA MIKONO YA CHUMA.