Wewe ukitaka katiba mpya ni lazima na wengine waitake katiba mpya?
Angle uliyokaa wewe na kuyaona mambo sio angle niliyokaa mimi na kuyaona mambo.
Kutokuwepo miundombinu bora ya barabara, maji, Elimu nk binafsi siamini kama shida yake ni Katiba.
Pale SOUTHAFRICA ambako labda tunaona wanakatiba bora kwakuwa Rais anaweza kutolewa madarakani nakukaa jela tunasahau ukitoa wale KABURU WOOOTE na kuacha wale WEUSI na ukawaachia hiyo hiyo katiba bora lile TAIFA LINAENDA KUWA MASIKINI MWEZI TU.
SHIDA YA AFRICA NI WATU ambao ni mimi na wewe na UTASHI WETU WA KIJINGA.
MWAFRICA HATAKI MAMBO MAGUMU MAGUMU NAKUSACRIFICE KWAAJILI YA MAISHA YA VITUKUU VYAKE, KIFUPI KIZAZI HIKI KIFANYE KAZI KWA BIDIII NA KINGINE KIFANYE KAZI KWA BIDII THEN WANAOFUATA WAKUTE MAENDELEO.