Unafikiri maendeleo hayaji kwa sababu ya KATIBA?
Hiyo katiba ambayo leo imepitwa na wakati, wakati wake iliwahi kuleta maendeleo gani kwa raia wake?
Sio kila utaratibu wa kuishi ndio Katiba, Msingi ulipokuwepo mbona hiyo nyumba hatukuimalizia kuijenga mpaka mmomonyoka umeikuta na kucrack huo msingi?
Katiba hii hii tuliyonayo ni mara ngapi imechezewa na kuvunjwa au kutofuatwa?
Kwani hakuna mahala hii katiba inatoa adhabu kwa kutofuatwa ni nani Elite amepewa hiyo adhabu.
MPUMBAVU HATA UMUWEKEE UTARATIBU GANI NI SHIDA TU, MTOE KWANZA UPUMBAVU KWA MIJEREDI NDIO AKILI ITAMKAA SAWA,.
ULAYA NA AMERICA ZILIENDELEA KWA MIJEREDI NA UTEMI MWINGI, MWAFRICA ANATAKA KULELEWA NA KUBEMBELEZWA.
TAJA NCHI TATU ZA AFRICA ZILIZOENDELEA KAMA MATOKEO YA KATIBA BORA.
UKIONA NCHI AFRICA IMEENDELEA BASI NI INFLUENCE YA WAZUNGU KWA MANUFAA YAO FULANI FULANI.
MTU MWEUSI ANAPASWA KUJITAMBUA KWANZA, YEYE NI NANI, SHIDA YAKE DUNIANI NI NINI NA THAMANI YAKE NI NINI.