LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Kwa hiyo mantiki yako ni kwamba itatokea siku moja kila mtu awe na utashi wa maendeleo mwenyewe bila intervention ya kikatiba? Are you really serious? You are taking things so lightly.Kwani Katiba ya sasa haijaweka makatazo na adhabu zake lakini bado watu wanaikanyaga na hizo adhabu hawapewi.
Zipo nchi nyingi Africa zina katiba bora kabisa zakumshitaki mpaka Rais lakini bado ni masikini na tabia zile zile za kipumbavu.
Tanzania ina katiba hakuna aliyesema haina katiba, JE HIYO KATIBA YENYEWE INAFUATWA NA KUTEKELEZWA.?
Vitabu vitakatifu vipo vimetoa mpaka adhabu na vipo toka karne nyingi nyumba bila new version zenye marekebisho lakini watu wanaishi na kufuata maandiko yaleyale na wengine pia wanayavunja Ukiwemo wewe siajabu ndio namba moja kwa ushetwani.
Halafu suala la nchi kuwa maskini pamoja na kuwa na katiba kuna mambo mawili; kwanza katiba yenyewe inaweza ikawa ndio mojwapo ya chanzo cha nchi kutopiga hatua nzuri kimaendeleo kutokana na madhaifu ya hiyo katiba kiuchumi, kisiasa na hata kijamii hivyo kubadili katiba kunaweza ku-accelerate development process, pili suala la nchi kuwa maskini ni mtambuka halitegemei katiba peke yake, kuna factors nyingine nyingi sina haja ya kuzitaja hapa.