Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Acha kufananisha Nchi makini na Nchi ya hovyohovyoUSA, UK, FRANCE, GERMANY nk ni mara ngapi wamebadirisha katiba zao tangu kuanzishwa kwake?
Acha mihemuko, wapi nimeongelea maoni yake! Refa haruhusiwi kuuzuia mpira usitoke uwanjani, yeye kama anataka kutoa maoni aiache kazi ya uenyekiti ili awe nasi kwenye kutoa maoni.
Mie nilivosikia tu ba mkwe (Hamad Rashid)nae yumo, nikajua pamekucha.Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM.
Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha uenyekiti aje upande wetu wa watoa maoni na si vinginevyo.
CCM ilimuweka Mukandala kwa lengo maalum la kuikwamisha katiba mpya ili hii mbovu iendelee kuwepo baada ya wao kuifanyia marekebisho wanayoyapenda, ni jukumu letu kusimama kidete na kumkataa huyu Mukandala.
Acha kufananisha Nchi makini na Nchi ya hovyohovyo
Na mwisho wa kukusanya maoni ni lini?Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM.
Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha uenyekiti aje upande wetu wa watoa maoni na si vinginevyo.
CCM ilimuweka Mukandala kwa lengo maalum la kuikwamisha katiba mpya ili hii mbovu iendelee kuwepo baada ya wao kuifanyia marekebisho wanayoyapenda, ni jukumu letu kusimama kidete na kumkataa huyu Mukandala.
Mzee Warioba wakati akiwa anaongoza tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya sikuwahi kumsikia akitoa maoni yake binafsi. Mara nyingi kama so zote walikuwa akiwataja wananchi in percentage au kwa eneo, kundi maalumu n.k HE DESERVES A ROUND OF APPLAUSE! Huyu Mkandara pamoja na uprofesa wake wa jalalani haiwezi hii kazi huo ndio ukweli tusionaene haya katika suala nyeti kama hili.Acha mihemuko, wapi nimeongelea maoni yake! Refa haruhusiwi kuuzuia mpira usitoke uwanjani, yeye kama anataka kutoa maoni aiache kazi ya uenyekiti ili awe nasi kwenye kutoa maoni.
Ni tapeli tu wala hana loloteAcha mihemuko, wapi nimeongelea maoni yake! Refa haruhusiwi kuuzuia mpira usitoke uwanjani, yeye kama anataka kutoa maoni aiache kazi ya uenyekiti ili awe nasi kwenye kutoa maoni.
Huyo ndiyo alikuwa Mwenyekiti kweli tofauti na hiki kikosa kaziMzee Warioba wakati akiwa anaongoza tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya sikuwahi kumsikia akitoa maoni yake binafsi. Mara nyingi kama so zote walikuwa akiwataja wananchi in percentage au kwa eneo, kundi maalumu n.k HE DESERVES A ROUND OF APPLAUSE! Huyu Mkandara pamoja na uprofesa wake wa jalalani haiwezi hii kazi huo ndio ukweli tusionaene haya katika suala nyeti kama hili.
Ni mpumbavu tu ambaye anaona msingi wa nyumba yake umapata ufa au umetitia halafu anijipa matumaini kuwa hi nyumba Bado inanifaa kuishi ndani yake maadam bado imesimama.Kwa sababu ameongea usilopenda kusikia?
Kuna wakati tusikilize na kuyafanyia kazi hata tusiyopenda kusikia.
Binafsi sihitaji katiba mpya maana naona mchakato ulioporwa na wanasiasa na kwa sasa la msingi ni watu kuuvaa uwajibikaji na kuacha ubinafsi.
Shida ya Africa sio Katiba bali ni utashi mbovu wa waAfrica, WAAFRICA BADO HAWAJASTARABIKA NA HATA UKIWALETEA KATIBA MPYA BADO TUTAONA HAIFAI TU.
TUSTAARABIKE KWANZA NA KUPENDANA WENYEWE KWA WENYEWE, HAYA YA KATIBA NI MAGUMU SANA KWETU.
Tatizo letu ni kudhani katiba mpya inahusu Chadema na vyama vingine kuruhusiwa kufanya siasa bila kujua katiba ni zaidi ya siasa. Katiba ndiyo inayoshikilia maisha yote ya kila siku ya wananchi, leo unakuta kidudumtu kinasema eti yeye hahitaji katiba mpya! Huyu ni mpumbavu kwani yeye anajua katiba inahusu vyama vya siasa tu bila kujua inahusu hata ndoa yake na wanawe, pia inahusu hata biashara tuzifanyazo nchini na elimu na mambo yote tuyafanyayo kila siku.
Ni mpumbavu tu ambaye anaona msingi wa nyumba yake umapata ufa au umetitia halafu anijipa matumaini kuwa hi nyumba Bado inanifaa kuishi ndani yake maadam bado imesimama.
Kwenye jamii yoyote ustaarabu unakuja baada ya kuwekeana Sheria, taratibu na kanuni znazokubalika na kuendana wakati husika kwa ajili ya kuongoza hiyo jamii.
Kwa katiba hii ya sasa ya Tanzania huwezi kupata huo ustaarabu unaotuaminisha hapa. Mambo mengi yamepitwa na wakati na yanahitajika kurekebishwa au kuondolewa kabisa na kuweka mapya. Hata ukisema wafanye marekebisho ya hii katiba ya sasa ni useless and lack of common sense.
Hakupaswa aongee hata tunayopenda kusikia bilateral kutekana , kuuana , kulawitiwa , kwa sababu ya maoni tofaut ya kisiasa maumivu yake na matendo kutogusa familia zao hususan watoto wa damu wataendelea kufanya sanaa za kitoto , sa nani nchi hii anamuamini pronyoko mkandalaKwa sababu ameongea usilopenda kusikia?
Kuna wakati tusikilize na kuyafanyia kazi hata tusiyopenda kusikia.
Binafsi sihitaji katiba mpya maana naona mchakato ulioporwa na wanasiasa na kwa sasa la msingi ni watu kuuvaa uwajibikaji na kuacha ubinafsi.
Shida ya Africa sio Katiba bali ni utashi mbovu wa waAfrica, WAAFRICA BADO HAWAJASTARABIKA NA HATA UKIWALETEA KATIBA MPYA BADO TUTAONA HAIFAI TU.
TUSTAARABIKE KWANZA NA KUPENDANA WENYEWE KWA WENYEWE, HAYA YA KATIBA NI MAGUMU SANA KWETU.
Umejitafakari kibnafsi bila kuangalia kesho ya kizazi chako. Yaani wewe unaamini watoto wako unaoendelea kuwasomesha wataendelea kuishi kama uaminivo? Lazima ukubali kuwa kuna Political evolution. Leo sio kesho!Kwa sababu ameongea usilopenda kusikia?