Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

Kwenye report ya Prof Assad ya 2015/17 yeye ndio alieshauri umeme wa maji wa bwawa la stiglers now likiitwa bwawa la nyerere kuliko umeme wa kununua...
Naambatanisha na video...to be specific angalia dk ya 1.55


So km ni utaahira ww ndo unao tena mwingi wa kutosha
 
Imagine! Nafikiri mwendazake alikuwa na matatizo ya afya ya akili, na ile PhD yake ilimaanisha Parmanent Head Damage! No wonder kina Ben Saa8 walioihoji walipotezwa!
 
Niliwaambiwaga Huyu Prof [emoji1818] ni mtu muhimu sana ktk kushauri maswala muhimu ya nchi hii tumsikilize vizuri na kufanyia kazi anayoshauri ili tufanikiwe.
 
Huyu jamaa sio mnafiki saaana,,, coz toka JPM yupo alikataa kuwa mnafiki ndio maana akatumbuliwa.... So anachofanya sasa ni muendelezo tu wa alichokianzisha toka siku za nyuma...


Awe makini tu,,, chawa wa mwendazake wako na masikio sana na hasira juu..
 
Ni kweli Prof. Tena nafasi za CEOs zote zinapaswa kutangazwa na kufanyiwa usaili wa wazi na vetting.

Hii itatoa nafasi sawa kwa kila mtanzania kupata haki ya kuomba na kutumikia Taifa letu, tofauti na utaratibu wa sasa wa kuteuana ambao hufanyika kwa kujuana tu.

Wale ambao hawajuani na hao wapambe wa Rais watapataje nafasi ?

Je hamuoni mnawanyima haki?
 
Kua timamu basi ndugu; mimi sijapinga ujenzi au wenda ujui taratibu ya ujenzi.
kwenye ujenzi kuna vitu kama feasibility study...kupima udongo and likes.
Sasa utaanzaje ujenzi 2020 kwa kutumia taarifa ya 1970? wakati kuna mabadiliko mengi sana ya kimazingira? unadhani kwanini maji yanachimwa then baada ya miezi mitatu maji hayatoki tena eneo husika.
Kwa maana nyingine kwenye hiyo video imeonesha Prof Asad akisema kua ujenzi uanze bila kufanyika feasibility study?
 
Ukiwa CAG unapata fursa ya kufanya kazi karibu na Viongozi wote wa Serikali, unawakagua, unawaelekeza na kuwashauri juu ya matumizi sahihi ya pesa za Umma. Kumkatalia anachokisema kisa unalipwa kuitetea Serikali ni ujinga.
Wewe na CAG nani anawafahamu vema Viongozi wa Taasisi zote za Serikali na uwezo wao wa kusimamia rasilimali za Umma?
 
Yeye sio CAG tena alishaondoka siku nyingi hana Acess hiyo sasa hivi na hata kama alikuwa CA Kusema ana takwimu za sasa hivi mwongo.Hana Access hiyo dababubu sio CAG

kazi ya CAG ni kukagua mahesabu sio kukagua IQ za viongozi

Takwimu alizotoa za uongo
 
Hakuwa Kiongozi? Leo kajibu swali langu inakuwaje Prof mzima anatolewa knock out na Spika kiasi kile huku akiwa na genge la wahuni nyuma yake wakimsaidia? Naye yuko fungu la 60.
 
Professor kama Professor CV yake tuu ukimaliza kuisoma nenda ukadai upewe Diploma imeshiba kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…