Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Prof Assad ndani ya nyumba, naona mataga wanahaha namna gani pale shuti limepigwa kuelekea mataga hadi sasa magoli ni 4 kwa 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kafufuka wapi tena huyu yeye angekaa kimya heshima yake itashuka kwa kiropoka ropok
Kwenye udikteta tumeona vingi visivyowezekana vimewezekana.
Ununuzi wa ndege
SGR
Ukarabati na ununuzi wa meli.
Hospital za rufaa na vituo vya afya
Uwezo wako kwa maswala ya uchumi ni mdogo sana waachie wachangie wenye uwezo mkuu.Miradi hii haijawezekana maana raia, wakulima, wafanyabiashara, wenye viwanda, kodi kwa serikali n.k hawajaanza kuifaidi na hawataweza kuifaidi maana miradi hiyo yote haikufanyiwa upembuzi yakinifu bali ilitumika kama mirija ya rushwa kubwa kubwa.
Yupo sahahi kabisa; inawezekanaje wewe mtaalam ukatumia taarifa ya feasibility study ya 1970 ukajenga mradi mkubwa wa JNHP? kama siyo utahira ni nini? kisa kiongozi flani amesema kua mradi uanze feasibility study itakuja nyuma.
Sidhani kama tunapaswa kuendelea na viingozi wa namna hii
Kuna somo kubwa hapa, huyu ndiye prof. wa ukweli
Yupo sahahi kabisa; inawezekanaje wewe mtaalam ukatumia taarifa ya feasibility study ya 1970 ukajenga mradi mkubwa wa JNHP? kama siyo utahira ni nini? kisa kiongozi flani amesema kua mradi uanze feasibility study itakuja nyuma.
Sidhani kama tunapaswa kuendelea na viingozi wa namna hii
Well said , kwa kweli ni unmeasurable, hizo takwimu amezitoa wapi? A professor!!! Siyo sawa kuongea bila kuwa na credible authority to support your argumentsmuongo sample aliyochukua kubwa mno hawezi ku justify lakini kwa kuwa yey e ni mhasibu namsamehe
Angesema mfano asilimia 60 mawaziri hapo sawa
Kusema asilimia 60 ya viongozi wote serikali ni uongo hawezi justfy hizo takwimu sample kubwa mno .A narrow down
Alichosema hakina credibility kitakwimu
alikuwa competent na kukataa kutumika na bwana mkubwa.Duuh including him, ndio maana wakampiga chini,
Kama angekua competent wasingemtoa kwenye nafasi yake.
heshima yake iko pale pale wala haishuki. alisimamia professionalism yake to the very end. even though alifanyiwa mizengwe na bwana mkubwa.kafufuka wapi tena huyu yeye angekaa kimya heshima yake itashuka kwa kiropoka ropoka
Kumbuka tayari pale kulikuwa na mradi unaendelea uliokuwa una simamiwa na RUBADA na Assad amesema hapo kwenye hiyo video. Sasa kama kulikuwa na mradi tayari ukiendelea na yeye alishauri serikali au Tanesco iuchukue na kuuendeleza huo mradi wewe unafikiri kulikuwa na uhitaji wa kupoteza pesa tena kwa ajili ya Feasibilty Study kweli!!?? Kufanya feasibility study nyingine ingekuwa matumizi mabaya ya fedha za umma.Kua timamu basi ndugu; mimi sijapinga ujenzi au wenda ujui taratibu ya ujenzi.
kwenye ujenzi kuna vitu kama feasibility study...kupima udongo and likes.
Sasa utaanzaje ujenzi 2020 kwa kutumia taarifa ya 1970? wakati kuna mabadiliko mengi sana ya kimazingira? unadhani kwanini maji yanachimwa then baada ya miezi mitatu maji hayatoki tena eneo husika.
Kwa maana nyingine kwenye hiyo video imeonesha Prof Asad akisema kua ujenzi uanze bila kufanyika feasibility study?
Na ww uwe una skiliza vizuri...km huskii vzuri tafta mtu akusaidie kuskiliza then akwambie CAG Assad kasemaje....CAG anadai umeme utatoa Megawat 1200 lkn viongozi serikalini hudai watatoa megawati 2116 huoni kama kuna changa macho, je vipi huyo Mkandarasi alibadilishwa?. Vipi amepozungumzia umeme wa Gas?.
Sikiliza vizuri hiyo video RUBADA ndiyo walikuwa wanasimamia mradi huo ambao ungetoa hizo megawatt 1200 lakini alishauri serikali au Tanesco ndiyo ichukue mradi huo kwa kuwa wao wanauzoefu mkubwa na uwezo zaidi. Sasa unashangaa vipi baada ya Serikali kupitia Tanesco kuuchukua mradi huo na kuwa mkubwa zaidi na kwamba utatoa megawatt 2116? Tatizo liko wapi hapo? Maana yake serikali kupitia Tanesco imewekeza zaidi kwenye mradi huo kuliko hao RUBADA ndiyo maana megawatt zimeongezeka. Tumia akili kidogo tu utaelewa mkuu!!CAG anadai umeme utatoa Megawat 1200 lkn viongozi serikalini hudai watatoa megawati 2116 huoni kama kuna changa macho, je vipi huyo Mkandarasi alibadilishwa?. Vipi amepozungumzia umeme wa Gas?.
Ww ndio husikii vizuri mkuu maana unashindwa kutambua na kuelewa alichosema.Na ww uwe una skiliza vizuri...km huskii vzuri tafta mtu akusaidie kuskiliza then akwambie CAG Assad kasemaje....
Alisema feasibility study ifanyike, Je ilifanyika?.Sikiliza vizuri hiyo video RUBADA ndiyo walikuwa wanasimamia mradi huo ambao ungetoa hizo megawatt 1200 lakini alishauri serikali au Tanesco ndiyo ichukue mradi huo kwa kuwa wao wanauzoefu mkubwa na uwezo zaidi. Sasa unashangaa vipi baada ya Serikali kupitia Tanesco kuuchukua mradi huo na kuwa mkubwa zaidi na kwamba utatoa megawatt 2116? Tatizo liko wapi hapo? Maana yake serikali kupitia Tanesco imewekeza zaidi kwenye mradi huo kuliko hao RUBADA ndiyo maana megawatt zimeongezeka. Tumia akili kidogo tu utaelewa mkuu!!