Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, si kila mtu anaweza kuwa "Mangi".Mtu kama Assad alifaa awe rais
Ccm haitufai kabisa
Ulishaona mradi unaendelea ukafanya feasibility study tena? Huo utakuwa ufisadi mwingine. Jua kuwa mradi wa JNHP ulikuwa unaendeshwa na RUBADA kabla ya serikali uuchukua.Alisema feasibility study ifanyike, Je ilifanyika?.
Kila mmoja kaongelea yake....ndio maana hata wewe mm tunaposti hapa...uhuruKichere CAG ndiye ametoa ropoti juzi. Sasa huyu Assad anahusika vipi. ?
Kichere ameelezea financial irregularities. Sasa unataka Rais afanye nini? Afunge watu jela? Unataka Rais afanye kazi au adukuliwe?
👍🤣🤣🤣Bila kusahau na wewe umeongeza post ya Assad kuwa nyingi zaidi.
Kwa kifupi Tumechanganyikiwa
👍👍Assad katoa maoni yake, kama wewe ulivotoa maoni yako kwenye huu uzi
Mmoja kati yao ni Prof Asad mwenyeweViongozi wengi sio wazuri au hawakidhi kiwango kinachohitajika, tatizo langu ni moja tu inapofika mahali unaona mtu anakosea na huwezi kusema kama mtu anakosea, unakuwa umefika mahali pabaya sana,” alisema Profesa Assad na kuongeza:
“Sio lazima umkosoe wazi wazi, lakini angalau basi andika kwamba mheshimiwa nimeona umefanya jambo hili na hili, lakini nafikiri kimsingi jambo hilo halikuwa sawa; rai yangu turekebishe hapa na hapa, akipata rai kwa mtu mmoja atakasirika, akipata rai hiyo kwa watu 10 kwenye cabinet (baraza) yake lazima asikilize
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍lakini kwa kuwa yey e ni mhasibu namsamehe
Ungekuwa unachukua digrii chuoni ukaenda na hiyo tafiti yako kuwa asilimia 80 ya viongozi wote wa serikali nchi wana uwezo mdogo .Maprofesa wangekufukuza na chuo kabisa kuwa umewapoteza muda wa kukufundisha mtu mjinga kama wewe sababu wanajua huwezi justify kwa takwimu hata wakupe miaka 10 ya kuzitafuta hizo takwimu za Asilimia 80 ya vipngozi wote.Chukulia kuna viongozi ambao ni walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari ukusanye takwimu zao nchi nzima kisha uje viongozi wote wa kata na tarafa na wilaya na mikoa wa vitengo na idara zote nchi nzima ukusanye takwimu zao kisha uje viongozi wote wakiwemo wakuu wa idara mbalimbali za halmashauri nchi nzima utafute takwimu zao halafu uje viongozi wote wa juu na chini wa vyombo vya ulinzi.na usalama nchi nzima ukusanye takwimu zao halafu uje za viongozi wote wa mawizara wa juu kati na chini ukusanye takwimu zao halafu uje ukusanye taarifa za viongozi wote ea taasisi na idara kuanzia wakuu wao wakurugenzi mameneja nk .Halafu ndipo ufikie conclussion kuwa asilimia 80 .Tena amepaja idadi ndogo. Ni asilimia 80. Niambia watu kama Msukuma, Kigwangala, wana uwezo gani? Viongozi wa aina hiyo wako wengi sana na ndiyo wamejaa CCM.
Kwa uongozi wa sasa Ndugai hawezi kuthubutu kunyanyua bakuli lake kumjibu Prof Asad.