Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

Yeye mwenyewe yupo kwenye hao wenye uwezo mdogo.

Kusubiri mpaka mwanaume mwenzio afariki ndiyo uanze kumkosoa ni uzwazwa.
 
Assad mwenyewe uwezo mdogo. Tangu UD ulikuwa nyuma ya waklati wa promosheni yako. KUwa CAG ulibebwa, Umetolewa nafasi ya CAG ukapewa chuo Morogoro hujakifikisha kokote. Uezo uko wapi?
 
Matokeo yake ..palifumuka maji yakatokea mafuriko mbaya halafu serikali ikakaa kimya kama hakijatokea kitu.
Yupo sahahi kabisa; inawezekanaje wewe mtaalam ukatumia taarifa ya feasibility study ya 1970 ukajenga mradi mkubwa wa JNHP? kama siyo utahira ni nini? kisa kiongozi flani amesema kua mradi uanze feasibility study itakuja nyuma.

Sidhani kama tunapaswa kuendelea na viingozi wa namna hii
 
Assad Prof......umenena vema Sana,ila ingekuwa vema zaidi ungeyanena haya WAKATI MWENDAZAKE YUPO,NINGEPATA RAHAAAAAA ZAIDI...ila wamekusikia...WANAFIKI WOTE WAMEKUSIKIA...NA WAOGA WOTE WAMEKUSIKIA
Mwendazake asingemwacha salama - tungekuwa tunasema mengine kwa Prof huyu.
 
Imagine! Nafikiri mwendazake alikuwa na matatizo ya afya ya akili, na ile PhD yake ilimaanisha Parmanent Head Damage! No wonder kina Ben Saa8 walioihoji walipotezwa!
Tanzania imepitia uozo mkubwa sana !
 
Yupo sahahi kabisa; inawezekanaje wewe mtaalam ukatumia taarifa ya feasibility study ya 1970 ukajenga mradi mkubwa wa JNHP? kama siyo utahira ni nini? kisa kiongozi flani amesema kua mradi uanze feasibility study itakuja nyuma.

Sidhani kama tunapaswa kuendelea na viingozi wa namna hii
Kheeee....!!! feasibility study itakuja nyuma???? Halafu matokeo ya feasibility study yakiukataa mradi itakuwaje? AU ndo itakuwa NDIYO MZEE kila hatua ya study hiyo?
 
Hili ndio tatizo kuu ktk serikali , mashirika ya umma na bungeni, competency ipo ya kisiasa na upendeleo kuliko ya mtu mwenyewe.
Naomba Prof Assad na wataalamu wengine waunde kamati ya ajira na teuzi ili vigezo vizingatiwe
 
Mradi ulishaanza na ndio maana anashauri msimamizi asiwe rubani. Yeye alisisitiza tu kiushari uzalishaji wa umeme aidha kwa gesi au maji.

Angalia,sikiliza na uelewe mkuu
 
Assad mwenyewe uwezo mdogo. Tangu UD ulikuwa nyuma ya waklati wa promosheni yako. KUwa CAG ulibebwa, Umetolewa nafasi ya CAG ukapewa chuo Morogoro hujakifikisha kokote. Uezo uko wapi?
Kile chuo nakihurumia sana yaani siku wazanzibari wakisusa kwenda kinakufa kifo cha mende

Hakivutii wasomi wabobezi waislamu wako kibao lakini ukiwaambia waende kufundisha pale hawataki.Kuna vijana wawili wasomi niliwauliza kwa nini msiende wakasema aina ya wanafunzi wanaokuja pale wanakatisha tamaa wanadhani ni chuo cha kuwaandaa kuwa mashehe na maimamu na viongozi wa kidini

pili wakasema uongozi wa juu pia unaamini hivyo

Na tatu mazingira ya kazi na malipo si rafiki

Ndio maana wanachukua akina swala tano Akina Profesa Assad na wanaharakati wa kiislamu kama marehemu Profesa Njozi kuwa ndio maprofesa wa chuo
Wakadema kunatakiwa kuwe na mabafiliko makubwa sana kukifanya hicho chuo kikubalike kama vyuo vingine vya kidii kama vya katoliki vya Bugando nk vya walutheri kama Tumaini na KCMC nk ambavyo watoto wa kiislanu kibao huenda kule

Kifupi Proffesa Assad kawekwa pale tu ku boost CV ya chuo kisije futiwa usajili sababu chuo kikuu kutambulika huhitaji kuwepi kwa proffessors .Naye yupo yupo tu ili wakiulizwa kama chuo kikuu mna Proffessors waseme tunaye Proffessor Assad.Lakini hamna kitu
 
Hivi products za hicho Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro huwa ziko wapi, mbona makazini hatuzioni? Utasikia mimi nimesoma UDSM,SUA, Mzumbe, SAUT, MUHAS, Chang'ombe, DIT, Usafirishaji nk. lakini huwezi sikia mimi nimesoma MUM
 
Hiko chuo ulichosoma nacho Nina mashaka nacho....UNASHINDWAJE KUFAHAMU TUNAZUNGUMZIA MADA GANI?SIDHAN KAMA MLETA MADA AMEELEZEA WASIFU WA CHUO KIKUU CHA KIISLAMU...
 
Hiko chuo ulichosoma nacho Nina mashaka nacho....UNASHINDWAJE KUFAHAMU TUNAZUNGUMZIA MADA GANI?SIDHAN KAMA MLETA MADA AMEELEZEA WASIFU WA CHUO KIKUU CHA KIISLAMU...
 
Nchi ilipitia kipimdi kigumu sana...
images (2).jpeg
 
Kuna haja ya kutazama upya mfumo wetu wa elimu ambao Ndio unaowajenga hawa viongozi, hususani katika ngazi za juu za elimu yaani vyuo vikuu.
Wengi wenye masters uwezo wao ni wa kubabaisha, walimu wengi pia wa vyuo uwezo wao ni mkubwa kiakili lakini hawana uwezo wa kuelezea waliyoanayo kichwani. Je, ni wakati sahihi wa kutafuta walimu wa vyuo wenye uwezo mzuri wa kuelezea hoja kwa kina, na kuachana na degree za GPA 4.5 za kukariri lakini ukimwambia aeelezee kidogo alichonacho anashindwa , japo anaijua?
Elimu yetu ni ya kutishana kwa Bachelors, Masters na PhD lakini ndani ya vichwa huoni elimu yoyote. Wengine sasa wanajiita dokta fulani bila hata karatasi ya jina hilo.
Mtu ni profesa, anapewa heshima, lakini akipewa jukumu au swali, badala hata ya kuomba muda wa kufikiri, yeye anaamua kuropoka tu!

Nilikata tamaa sana niliposikia Muhongo anasema umeme wa hydro umepitwa na wakati, tena eti huu ni wakati wa gesi! Nikajua kichwa kibovu kimeanza kuropoka. Assad anayepigiwa chapuo hapa kichwani sioni kitu. Hajawahi hata kuchapisha chochote cha kufikirisha wasomaji. CAG ni nafasi ya kusoma yaliyoandikwa na watendaji wake ofisini. awepo asowepo yataandikwa tu!
 
Kwa ufupi, wameshindwa kukiendesha kama chuo kikuu. Kinaendeshwa kama seminari ya kiislam.
 
Assad mwenyewe uwezo mdogo. Tangu UD ulikuwa nyuma ya waklati wa promosheni yako. KUwa CAG ulibebwa, Umetolewa nafasi ya CAG ukapewa chuo Morogoro hujakifikisha kokote. Uezo uko wapi?
Professor Assad ameingia mkataba na Eu kukagua miradi itokanayo na pesa za Eu nchini Tanzania .

Kama alibebwa Basi hata hawa mabeberu EU wamembeba[emoji23][emoji23] kwa kumpa u-auditor
 
Professor Assad ameingia mkataba na Eu kukagua miradi itokanayo na pesa za Eu nchini Tanzania .

Kama alibebwa Basi hata hawa mabeberu EU wamembeba[emoji23][emoji23] kwa kumpa u-auditor
Ni wengi nchi hii walio na mikataba ya aina hiyo, tena hata hawaitwi professor . Wengine wanakagua miradi ya USAID, wengine DANIDA, NORAD, etc. What’s special?
 
Back
Top Bottom