Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Hili jamaa bwana sijui lilitiwa kidole linachuki mbaya sana wewe utakuwa na laana sio bure
 
Hii story sema tunasimuliana tofauti tofauti sana. Yaani versions ni nyingi. Mimi nlisimuliwa tofauti kabisa na hii. Anyway tuendelee kusambaza watu wengi waipate.
 
Uonevu ulitumika bila utaratibu wa sheria za nchi.
Kama alitumbuliwa si ni kukubali tu kuwa kama aliteuliwa basi kuna kutenguliwa? Hii nafasi hakuzaliwa nayo. INAONEKANA ALIPENDA SANA KUWA CAG AKAKATISHWA. AACHANE NA HILO KWA SASA. WAPO WENGI WALITENGULIWA BILA NOTICE AU UTARATIBU WAKAENDELEA NA MAISHA YAO.
 
With due respect Let's assume haya unayosema ni kweli.
Je kuendelea kulalama kwa staili hii wakati muhusika amebaki historia kuna manufaa gani?...
JPM alikuwepo and his chapter is closed for good forever and ever.
Ushauri wangu Prof apambane na hali yake.
 
Aliyemtumbua naye akatumbuliwa na Corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…