Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kazi[emoji1787][emoji1787] serikalini akafanye nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi[emoji1787][emoji1787] serikalini akafanye nini
Mpaka inakera , angelalamika kipindi kipindi kaondolewa, maana hata aliyemuondoa hayupo na hatamjibu, yawezekana na udini unamsumbua.Kwamba kalipwa baada ya kifo cha Magu na yeye karudishwa nafasi yake?
Tatizo udini ukikuzidi sana hata kama ni msomi kwa kiwango gani huondoa maarifa na busara.
Yeye angekuwa wa maana dunia ingekuwa imeshamchukua na kumtumia kama kina Mwelle Malecela.
Ana mapungufu mno kuliko anavyodhania yupo sahihi. Kiislam huwa wanaamini kila ridhki hupangwa na mwenyezi Mungu ndio maana huwa wanasema kila mtoto anazaliwa na ridhki yake.
Huyu ridhki zake za visasi na husda. Atabaki hapo sana tu.
Labda alijua atafia kwenye kiti cha C.A.GMungu akijibu unajuaje? Mzee apumzike basi, ye kila akiona mic lazima alalamike
Wapo wengi sana wa aina hii ya Prof. Assad, sema tu hawapati nafasi ya kusikika. Hapa hakuna uislamu wala ukristo. Kawaida ya watu waovu hukimbilia kujitetea kwa kutumia hisia kali zinazowagawa watu kama imani ya kidini, tabaka za kiuchumi (wanyonge), jinsia, jiografia (ukabila, ukanda), nk. Kama binadamu Prof. Assad aliumizwa binafsi kama raia na kama mtumishi wa umma aliyeshika nafasi iliyokuwa inalindwa na katiba lakini bado watu waovu wakadiriki kaivunja katiba ya nchi na kumkomoa na kumuumiza! Kuzungumzia uovu huo siyo chuki bali ni wajibu wa kiraia na kizalendo kutukumbusha kama taifa kuhusu mahali pabaya tulipopata kufikishwa na watu waliotaka kutuamisha kuwa wametumwa na Mungu kutukomboa! Kwa mtazamo wa kidini, tulivyoshuhudia kwa macho yetu viongozi wa imani ya kikristo ndiyo walioonyesha "chuki" zaidi kwa vitendo kwa kukemea uongozi wa awamu ya tano kuliko wale wa dini ya Kiislamu. Hayo mafundisho ya "chuki" ya uislamu yako wapi?Uislamu ni dini inafundisha chuki sana.
Huyu anaswali sala Tano wanamuita muislamu safi lakini kutwa kusema marehemu vibaya.
Sasa alitaka kuwa CAG maisha yake yote.
Mzee ana tamaa sana huyu ya pesa na madaraka.
Si akafanye kazi nyingine ?uprofesa wa kulalama utadhani hajitoshilezi kimaisha...
Kwani yeye ataishi milele?Hatari,so Mungu alijibu kwa Magu kufariki.Alikua anamuombea Magu kifo ?Hatari sana.
JPM yuko motoni sasa hivi Professor Asaad anadunda tuHuyu anawashwa kweli, amejaa chuki tu. JPM alikuwa sahihi kula kichwa, hauwezi kuwa na mtumishi roporopo namna hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi gan?Kazi
Yeye mtu safi mtu wa dini anafelisha vipi watu?Huyu fala Asad atulie fala sana yeye akiwa UDSM kafelisha sana watu chizi huyu na alikuwa anajisifiaga shenzi sana huyu,sasa ale mavi bwege sana
Ameumia sana. Hakuna siku akihojiwa anaacha kuzungumzia.Alikua anaiba mkuu halafu anajifanya mtu wa sala kumbe mwizi.
sasa kama umefeli unataka upewe pass ya mchongo? Hiyo ni dhambi kubwa sana kwani wenzako wamejitahidi wewe umekwenda disco kila weekend halafu unataka ufaulu kwa ubwerere.Yeye mtu safi mtu wa dini anafelisha vipi watu?
lete ushahidi wa maneno yako, otherwise hizo ni chuki zako tuAlikua anaiba mkuu halafu anajifanya mtu wa sala kumbe mwizi.
Akarekebishe pale alipoachia [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] serikalini akafanye nini
Unawashwa wewe Shehe hana chuki na mtu anasema ukweli kwa alichofanyiwa na JPM yuko sahihi.Huyu anawashwa kweli, amejaa chuki tu. JPM alikuwa sahihi kula kichwa, hauwezi kuwa na mtumishi roporopo namna hii.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akarekebishe pale alipoachia [emoji23][emoji23]