Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Mungu kamjibuje?kama anadhani kifo ndio jibu nae atakufa tu siku moja na kifo sio adhabu au anamanisha Mungu yupi?
 
Mungu kamjibuje?kama anadhani kifo ndio jibu nae atakufa tu siku moja na kifo sio adhabu au anamanisha Mungu yupi?
Atakuwa mungu wa kwake, lakini Mungu huyu Muumba mbingu na nchi hapendi watu wapotee bali waipokee toba.
 
huyu jamaa inaonekana ni mshamba sana , kila siku stori ile ile , kwani yeye alifanya nini cha ajabu ambacho aliyembadili hajafanya , njaA mbaya sana kwa hiyo anataka ateuliwe tena au alipwe , au anahisi ofisi ilikuwa ni mali ya baba yake

Kwani huyo aliyemtoa kihuni ofisi ilikuwa ya baba yake?
 
Back
Top Bottom