Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwani pale walipelekwa kuwafundisha au kuwafelisha? Unazani watu hatujui janja janja zao kwa wanachuo, tatizo si kama wamefanya vibaya shida nyingi huanza kwa walimu wao, wala rushwa zapesa mpaka ngonosasa kama umefeli unataka upewe pass ya mchongo? Hiyo ni dhambi kubwa sana kwani wenzako wamejitahidi wewe umekwenda disco kila weekend halafu unataka ufaulu kwa ubwerere.