Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Mimi alichokuwa ananiogopesha ni kuongo hadharani bila aibu. Anadai miradi yote anatekeleza kwa fedha za ndani huku akikopa kila kukicha. Deni la taifa linaongezeka huku yeye kila siku anadai anatumia fedha za ndani na si mikopo. Akageuza hazina ya taifa kuwa wallet yake binafsi. Bajeti za bunge zikawa hazina maana tena. Bila aibu anautangazia umma kila kukicha kuwa fedha za maendeleo anatoa yeye. Kwa kweli yule mtu alikuwa mgonjwa wa akili. Ni mara ya kwanza watanzania tukaishi ktk zama za giza la kutisha mno. Kichaa akapewa Nchi. Mungu ni Mkuu sana. Bila kutuepusha na hilo balaaa tungeishi humo gizani kwa miaka mingi sana mana mpango wa hao wanafiki wanaojifanya sasa kumkana huko Bungeni ilikuwa ni kumuongezea muda atawale milele.
Mungu anatupenda watanzania.
 
We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula bata
[emoji23][emoji23]Mkasiriko, mahasra ya choni udugu wane?
 
Alikuwa ni kiongozi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Unadhani angeisoma hiyo report kama ilivyo na au anavyoisoma sasa?

Tusaidie sababu gani ilisababisha atolewe katika hiyo nafasi!?

Na kwanini ilitumika nguvu kubwa hata kutoka kwa yule Ndugai pale Bungeni?
 
Sasa kama mlikua mnazificha ili mje kutudanganya kua tuko kwenye RIGHT TRACK
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mwanasiasa kama wanasiasa wengine.

Anaitumia elimu yake kama fimbo ya kuchapia jamii asiyokubaliana nayo.

Wale wale wasomi wa kiafrika katika ubora wao.
 
Hana maadili. Kashindwa hata kujiuliza kwamba kwa kumuongelea Marehemu sasa anakuwa anaonekana kama mpiga soga tu.
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mmesahau aliongelea nini na akafanywa nini? Angeongelea hayo nini kingefuata?

Kwakuwa ndugu yenu ndio aliongoza kwa unafiki na ukatili nchi hii ilibidi watu wanate na beat ili kwenda nae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima ipi ha JPM? Kuwateka, kuwatesa, na kuwaua watesi wake?

Ni bora wazazi wako wangepiga blowjob.
 
Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea. Tutasikia mengi. Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu. Marehemu alisema ohh!!!
Marehemu asingeyataka hayo asingewaziba watu midomo na kutaka kusifiwa tu. Hayo ndio matokeo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida watu walikuwa washajengewa mentality ya kukubali kila jambo na yeyote anaepinga kuonekana sio mzalendo.
 
Kwahiyo watanzania walihitaji kupigwa bunduki na kutekwa ?
 
Alikuwa bize na Mambo yake. Leo aliulizwa na Wana habari ndo mana akasema
Anaongea baada hayati hayupo? Ni unafiki siku zote alikuwa wapi? Au hayati awezi kujitetea huko alipo basi nae kahamu kutafuta kick?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…