Mimi alichokuwa ananiogopesha ni kuongo hadharani bila aibu. Anadai miradi yote anatekeleza kwa fedha za ndani huku akikopa kila kukicha. Deni la taifa linaongezeka huku yeye kila siku anadai anatumia fedha za ndani na si mikopo. Akageuza hazina ya taifa kuwa wallet yake binafsi. Bajeti za bunge zikawa hazina maana tena. Bila aibu anautangazia umma kila kukicha kuwa fedha za maendeleo anatoa yeye. Kwa kweli yule mtu alikuwa mgonjwa wa akili. Ni mara ya kwanza watanzania tukaishi ktk zama za giza la kutisha mno. Kichaa akapewa Nchi. Mungu ni Mkuu sana. Bila kutuepusha na hilo balaaa tungeishi humo gizani kwa miaka mingi sana mana mpango wa hao wanafiki wanaojifanya sasa kumkana huko Bungeni ilikuwa ni kumuongezea muda atawale milele.
Mungu anatupenda watanzania.
Mungu anatupenda watanzania.